NYAPAE:"bhwachamawe!"
Mmh! Naomba tuwe wastarabu, nitukaneni mm niliyeweka post hii, ila si kuanza kutoa maneno ya karaha kwa dhehebu la wasabato au wanaume wa kisabato.
Umalaya ni tabia ya mtu na kila dhehebu au dini kuna wanaume malaya,
kama unaona post haiko sawa, ni vizuri kushauri kwa lugha nzuri bila kuumiza hisia za watu wengine.
hawa jamaa wanapenda sana kuwaponda wenzao wanajiona wao ni bora sana kumbe ss tunajua hakuna mwanadamu aliekamilika sote tunautafuta ukamilifu hapa duniani.wasabato ni tatizo pia ni washirikina sanq hawa ndugu zangu.

Naona umecheka kwa herufi kubwa!
Natamani nimcc mtu lakini sijui atanielewa? Vigezo vyote vipo ila hilo la mtoto mh? ila anaweza elewa maana nimuelewa.....guess who????....piga Kimya bas!!!
Mmh! Naomba tuwe wastarabu, nitukaneni mm niliyeweka post hii, ila si kuanza kutoa maneno ya karaha kwa dhehebu la wasabato au wanaume wa kisabato.
Umalaya ni tabia ya mtu na kila dhehebu au dini kuna wanaume malaya,
kama unaona post haiko sawa, ni vizuri kushauri kwa lugha nzuri bila kuumiza hisia za watu wengine.
Kama unamuongelea mume wa mimi mwenzio ushindwe kabisaaa...
Hahahaa!!!Hisia zako zinaclick penyewe Haswaaa.....
Asanten sana, mbarikiwe
Mbona hunijibu?