Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

Mimi sio big fan wa Magufuli na niko on the record humu kumpinga mambo mengi
but Lowassa ni mbovu zaidi...

Lowasa kamfanya Magufuli aonekane 'malaika'
na sasa wana CCM washaamua

To change a system you need to be in the system Pombe played a very smart game and I believe he can change things. Kwa sababu ni msomi sio kama hawa wanaobatizwa madegree ya kupandikiza na kujiita madaktari. Nafahamu kuna wanaomchukia kutokana na maamuzi yake ya nyuma kwenye suala la kuuza nyumba lakini hilo lawama ni kwa aliyekuwa rais, Magufuli au Slaa watainyorosha hii nchi believe me.
 
Tutarudi hapa kujadili
sometimes ishu sio kutaka kuinyoosha nchi
sometimes ni 'usahihi' katika kuinyoosha hiyo nchi ndo ishu
kuwa sahihi na kuamini uko sahihi sio same thing
 
Safari za nje zilimpagawisha akatamani Maisha ya Mobutu... kwaheri kaka jk.
 
Siasa zina furaha yake na machungu yake lazima ukubali kuyapokea yote.
 
Itakuwa kosa kubwa sana Lowassa kwenda ACT.., the best move is for him to support the strongest party or to support UKAWA ..., ili aweze kupata pia sympathy ya watanzania wa kawaida na kulindwa na opposition...
 
Tutarudi hapa kujadili
sometimes ishu sio kutaka kuinyoosha nchi
sometimes ni 'usahihi' katika kuinyoosha hiyo nchi ndo ishu
kuwa sahihi na kuamini uko sahihi sio same thing

Mkuu ninaposema kuinyorosha nina maana gani ..... ..... rule of the law, tuna sheria lakini hazifuatwi mojawapo ni ya matumizi ya dollar ya kimarekani. Tanzania sio jimbo la USA. Walipa kodi wa nchi hii wamepewa wakati mgumu kwa kukamuliwa kodi wakati wageni wanapata tax free holiday kutokana na urafiki, what a shame. Serikali inawadhulumu walipa kodi wake kwa kuwapa huduma hafifu kuanzia kwenye elimu, hospitali nk. Uchumi wa hii nchi kwa kiasi kikubwa unawanufaisha wageni na mataifa ya nje badala ya kuwanufaisha wazawa nk.
 
Lowassa anavuna dhambi alizopanda mwenyewe. Mwaka 2005 yeye alitumia vibaya nguvu ya ushawishi aliokuwa nao, akahakikisha rafiki yake bila kujali uwezo wake anaingia ikulu badala ya kutumia ushawishi wake kuhakikisha anapatikana rais ambaye ana uwezo mkubwa wa kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi. Sasa hivi asilalamike maana mshahara wa dhambi yake ni mauti yake ya kisiasa.

hahahahaaaaaa! kweli kibona umenena
 
Mie bado namtambua lowassa ndio mwenye uwezo wa kuwa Rais wa Tanzania na sio waliomchagua
 
sasa ni vizur kukubali matokeo. mamvi kiukwel hana hata sifa ya kuwa mwanachama wa ccm na ndo maana hawez kukabidhiwa chama. mtu asie na sifa ya kuwa mwanachama hawez kuwa mwenyekit wa chama
 
duh. kila mwenye akili timam alijua kuwa lowasa kumpitisha ni sawa na kuhalalisha uhain

Nasikia waandishi wengi leo wamenyong'onyea maana mgawo umeisha khe khe khe khe he khe kuna wengi leo mambo hayakwenda sawa. kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Fandre umenena kweli hii ni laana kwa CCM itawamaliza haitowaacha kamwe

Itawamaliza Fandre na kundi lake...

Magufuli ndio chaguo la wana CCM....Hutaki unaacha..

CCM ni ileile.....

Hapa hakuna cha Rostam wala Karamagi...
 
Back
Top Bottom