Nkurukumbi
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 196
- 78
Chadema jiondoeni UKAWA hamna ishu
CUF walikubali Dr. Slaa awe mgombea Urais na Chadema wakamuomba Juma Duni(Makamu Mwenyekiti CUF) awe mgombea mwenza ila sharti achukue kadi ya chadema(kwa mujibu wa katiba ni lazima Rais na Makamu watoke chama kimoja), pia chadema itatoa waziri Mkuu maana ina majimbo mengi ya kugombea. Issue ya wabunge viti maalum ambao hutokana na wingi wa kura za rais na wabunge inabidi watoke chama chenye mgombea Urais(Chadema) kwa mujibu wa katiba, hivyo chadema ikawaomba CUF watoe majina ya wanawake wenye sifa ili wawekwe kwenye list ya Chadema na wapewe kadi za chadema maana kwa katiba iliyopo inalazimu kila Mbunge wa viti maalum ktk UKAWA atokee Chadema(Chama chenye mgombea Urais). Lipumba kabanwa na viongozi wenzake wa Baraza kuu kuwa kumpa Duni Haji na wanawake wote wa CUF kadi za Chadema ni kukiuza chama CUF kwa Chadema!
Inasemekana Akili ni nywele; na kila mtu ana zake!! kwa mantiki hiyo wewe kuna dalili nywele kabisaaa; mpaka kinyaa!
No research no right to open up your mandibles! hata matokeo ya chaguzi za serikali za mitaa majuzi tu hata wino haujakauka hayakukwambia kitu! hakuna kitu ulibanaini kwa matokeo hayo!? angalia usijerithisha kizazi chako akili ya namna hiyo!! Bs
Haya mavitu ya UKAWA hayawezekani bora wajitoe tu
CUF walikubali Dr. Slaa awe mgombea Urais na Chadema wakamuomba Juma Duni(Makamu Mwenyekiti CUF) awe mgombea mwenza ila sharti achukue kadi ya chadema(kwa mujibu wa katiba ni lazima Rais na Makamu watoke chama kimoja), pia chadema itatoa waziri Mkuu maana ina majimbo mengi ya kugombea. Issue ya wabunge viti maalum ambao hutokana na wingi wa kura za rais na wabunge inabidi watoke chama chenye mgombea Urais(Chadema) kwa mujibu wa katiba, hivyo chadema ikawaomba CUF watoe majina ya wanawake wenye sifa ili wawekwe kwenye list ya Chadema na wapewe kadi za chadema maana kwa katiba iliyopo inalazimu kila Mbunge wa viti maalum ktk UKAWA atokee Chadema(Chama chenye mgombea Urais). Lipumba kabanwa na viongozi wenzake wa Baraza kuu kuwa kumpa Duni Haji na wanawake wote wa CUF kadi za Chadema ni kukiuza chama CUF kwa Chadema!
(Kumkomboa mtanzania hakujalishi uko chama gani,nawaomba Cuf wakubali ili kutupunguzia makali ya maisha ya magamba!)
Wanakubalika bara??? Huo ni mzaha. Kuweni wa kwali. In fact mwaka kama mtakuwa ndani ya ukawa mtajiongezea wabunge kwa mgongo wa CDM, na kama mtajitoa, hata hayo majimbo mawili mliyoshinda mtapokonywa nakubakiwa na sifuri bara. Mtaendelea kubebwa na wapemba.
Sio suala la udini ndugu kwa kiasi Fulani CUF bara imekufa lazima hapa tuondowe ubinafsi wetu CHADEMA inakubalika zaidi bara na kama CUF wakijitoa UKAWA basi baada ya uchaguzi hata huko Zanzibar itasambaratika , na watu wake utaona jinsi watakavo kimbilia CHADEMA.
Kumekucha!CUF walikubali Dr. Slaa awe mgombea Urais na Chadema wakamuomba Juma Duni(Makamu Mwenyekiti CUF) awe mgombea mwenza ila sharti achukue kadi ya chadema(kwa mujibu wa katiba ni lazima Rais na Makamu watoke chama kimoja), pia chadema itatoa waziri Mkuu maana ina majimbo mengi ya kugombea. Issue ya wabunge viti maalum ambao hutokana na wingi wa kura za rais na wabunge inabidi watoke chama chenye mgombea Urais(Chadema) kwa mujibu wa katiba, hivyo chadema ikawaomba CUF watoe majina ya wanawake wenye sifa ili wawekwe kwenye list ya Chadema na wapewe kadi za chadema maana kwa katiba iliyopo inalazimu kila Mbunge wa viti maalum ktk UKAWA atokee Chadema(Chama chenye mgombea Urais). Lipumba kabanwa na viongozi wenzake wa Baraza kuu kuwa kumpa Duni Haji na wanawake wote wa CUF kadi za Chadema ni kukiuza chama CUF kwa Chadema!
(Kumkomboa mtanzania hakujalishi uko chama gani,nawaomba Cuf wakubali ili kutupunguzia makali ya maisha ya magamba!)
Niliyasema haya mkaniona mshabiki wa Zitto, haya sasa yamewafika wenyewe. hata hivyo nimezoea kila nachoaandika huwa kinapigwa ivta vikali japo roho zenu zina wasiwasi.. UKAWA hamna kitu pale ni wachumia tumbo tu toka mwanzo..