Hua siyo msemaji sana humu jamvini japo ni mwanajamvi hili. Kiukweli sijapata nafasi ya kusikiliza hii radio kwa leo. Ila kama ni kweli kayasema haya basi atuombe radhi mara moja wakotoliki si tu kwa Tanzania bali kwa ulimwengu wa kikatoliki. Catholic church means 'universal Church'. Asipofanya hivyo tutaweka mambo hadharani kuhusu maisha na historia ya Muddy pamwe na kitabu chao. Subrini mone muda si mrefu.
Akhasante Mkuu Na Tupo Pamoja.
Akhsante Mkuu Na NASISITIZA Tena Hakusema Kuwa Wakristo Duniani Wanaamini USHIRIKINA Bali Nimemsikia Mwenyewe Kwa Masikio Yangu Mazima Na Akili Zangu Timamu Mtangazaji Kibwana Dachi Akisema Kuwa Dhehebu La WAKATOLIKI LINAAMINI SANA USHIRIKINA Na Naomba Kama Mimi GENTAMYCINE Nimemsingizia Huyu MTANGAZAJI Basi Naomba ISIFIKE Hata Saa 6 Mchana NILAANIKE au NIPATWE Na JAMBO Baya. Najiamini 100% Kwa NILICHOKIWASILISHA Hapa Kwenu.
chakufia nini;
Tumsifu Yesu Kristo!;
Nina Hakika Huwezi ukamzidi Yesu Upendo! Umeona Upendo Aliowapa wale waliokuwa wanatukanisha Nyumba ya Baba yake?? Ni bakora tu...Yesu hakuwa legelege Mkuu!; ndilo Tatizo kubwa tulilo nalo Wafuasi wake, tunapenda Ufufuko lakini Msalaba tunatafuta sababu...
Hii statement sio ya kuinyamazia. Atakuja na lingine. Ashugulikiwe
Walau leo umeleta mada yenye maana.
Kuamini kwamba uchawi upo ni TOFAUTI kabisa na kuamini katika uchawi. Hoja hapa ni kwamba mleta mada amemsikia mtangazaji mmoja akisema kwamba RC wanaamini uchawi. Na kama nia yake ingekuwa kusema 'wanaamini kuwa kuna uchawi', basi ingekuwa wakristu wote au watu wote wanaotumia biblia, lakini yeye amesikika akisema Roman Catholic