Recent content by Nephi

  1. N

    TIGO ni hatari kuwatumia kutuma pesa Mpesa- usijaribu, ni wezi

    Hawafai kabisa nilishawahi kununua muda wa maongezi kwa kupitia Tigo pesa hela ilikatwa na kifurushi sikupewa na kila nikiongea na wahudumu wao kmnaambiwa swala langu ninashugulikiwa mara nisubiri masaa 24. wiki tatu zimepita nimeamua kusamehe tu maana nisijetukana mtu bure yakawa mengine.
  2. N

    Upendo ni nini?

    Tatizo ni wewe unapopenda hupendwi na yeye anapenda mwingine na mwingine anapenda mwingine huko. basi vuruguvurugu mtindo mmoja.
  3. N

    Wife ananipa wakati mgumu, hataki kutumia ARVs

    Mkuu usije na Jazba, Mimi nimfuailiaji mzuri sana habari hii toka post ya kupima kwake, niliguswa nao sana na nilimuona ni shujaa na kila post yake inayosiana na tatizo hili nafuatilia kwa lengo la kujifunza kupitia kwake na hata hii nimefuatilia pia hivyo naonganisha dots za habari zote...
  4. N

    Wife ananipa wakati mgumu, hataki kutumia ARVs

    Nimekuelewa sana bro lakini je unafikiri ukileta huku itamsaidia wife? Kitu muhimu ni kuongea nae kwa busara na kumuelimisha umuhimu wa kumbe kilichopo tumboni kwake na umuhimu wenu kwa hicho kiumbe. busara uliyonitumia kaamua kupima afya, kukubali matokeo, kumshawishi apime ndivyo...
  5. N

    Wife ananipa wakati mgumu, hataki kutumia ARVs

    Vipi umeshapona GONO? Hivi kwa nini baadhi ya wanaume hamjui kwa nini mmezaliwa wanaume? Moja ya majukumu ukiwa kama mwanaume ni kuiongoza na kuisimamia familia. sio kitu kidogo unakimbilia huku. Usijehukumiwa kwa kutokutimiza wajibu wako.
  6. N

    Kwa wale mnaojioona warembo kumbe...

    Kweli wanaume tumebakia wachache, Mungu alimuumba Adam na akaona yu mpweke akamtafutia msaidizi ambaye ni Hawa. Wanawake ni sehemu ndani ya mwili wetu ni wasaidizi na sisi wanaume ni kichwa cha familia. Mwanaume simama katika nafasi yako. Ni aibu mwanaume kuongea maneno ya kudhalilisha wanawake.
  7. N

    Kaniambukiza gono, mimi nimemwambukiza VVU

    Awali nilikupongeza kwa hatua yako ya kupima HIV na jinsi ulivyoikubali hali ya kuwa na maambukizi ila kwa hili hustaili Pongezi bali Pole.
  8. N

    Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

    jamaa anaweza kuwa kawafurahisha baadhi ya wanaume ila kwa lugha aliyotumia yaonesha wazi malezi au tabia aliyoadapt kipindi cha makuzi ya mpito ina walakini. unaweza sema maneno juu ya bastard children bila kujua inawezekana hata wewe ni mmojawao au hata wazazi unaojivunia sio biological...
  9. N

    Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

    Namuheshimu mwanamke, Ni mama yangu, dada yangu na mama wa familia yangu ijayo. Na kwa kuwa siko katika nafasi yake sijui na sitaweza kujua nini kinamsibu katika maisha yake na pia sina sababu ya kumdhihaki wala kumdhalilisha kwani nami si mkamilifu mbele za Mungu na dunia hii. bila Mimi...
  10. N

    Ni lazima mama wa mume kuhudumiwa na mke wa mtoto wake?

    Mtoa mada je mme ana haki ya kumtunza mama mkwe? maana kama mama yake hana haki ya kulelewa na wewe basi mama yako hana haki ya kulelewa na yeye FINITO. ila kwa kifupi hujajua maana ya maisha ya ndoa kwa kulinganisha Mila, desturi na taratibu za kiafrika.
  11. N

    Kwanini wasichana wengi wanaogopa mimba zaidi ya UKIMWI?

    mkuu Chanawaleti kila nikionganisha doti za maada zako mmmmh
  12. N

    Mtoto wa mchumba wangu ananiogopesha kumuoa mama yake

    Daaa, sina kitu mfukoni ila mleta mada kanifanya nicheke nisahau machungu ya ukata.
  13. N

    Nimepima VVU nikakutwa positive ila nimekua wa kujiamini sana

    Umefanya uwamuzi wa busara na umeubeba kijasiri. maana daaa! unaweza amua kuwa siangalii, sinusi, sigusi wala sionji ila ndo hivyo tena mambo ya nature balaa.
  14. N

    Nimepima VVU nikakutwa positive ila nimekua wa kujiamini sana

    Hongera mkuu kwa ujasiri, sasa rejea ule uzi wako wa awali wa demu kadata nawe wakati umemwambia una mke. Ulitumia kinga ulipomgegeda au ulipiga kavu?
Back
Top Bottom