Kaniambukiza gono, mimi nimemwambukiza VVU

Kaniambukiza gono, mimi nimemwambukiza VVU

Inamaana gono ukinasa inaanza kuonekana siku hiyohiyo hadi kutokwa na usaa?
 
kwa iyo mkuu unamaanisha gono si ugonjwa au na kwa nn mwenye ukimwi asilipate gono kwa nn tuanzie hapo
Natafuta kick babuu....Ni simple....If you get an STD/GONO you are more likely to get HIV than someone who is STD-free and vice versa....trust me
 
watu mnajua kutunga sana gono siku moja unapata. Gono unalipata kuanzia siku ya 3 mpaka ya 7 sasa wewe siku moja umelipata duuuu acha uwongo wewe mtoto kadanganye wenzako
Yaani huyu jamaa pumba kabisa,hajui hata kutunga hadithi
 
hii chai...gono tangu lini likaambukizwa kwa masaa???? hata huoni aibu

naona umewashika wasiolewa
 
sasa sijajua unataka nn humu hebu chagua 1:tukwambie ww ni lijingalijinga 2:tukusifie 3:tukuombee uache zinaa 4:tukuchape mboko?
 
Iv kweli kuna gono unaambukizwa siku iyo iyo na kuugua siku iyo iyo...toa maelezo vizuri....!Au ulikuwa nayo sema muda wa kupata dalili ulikuwa bado??
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
Mkuu huyu jamaa kaandika vingi na usiweze kumuelewa
ila funzo ni hili hasa kwa wanawake kutotaka kutumia kondomu. Jamaa alikuwa amevaa ila huyo she akawa ameivua.
Watu tunakufa kizembe sana halaf baadae tunaanza kumlaumu Mungu kumbe tamaa zako za kimwili.
Mkuu ila sishangai huenda na huyo demu pia ni muathirika ndio maana alijiamin sana. Ww unafikiri gono kalitoa wapi?
 
large.jpg
 
Post ya Kipumbafu sana Hii.
JF post kama hizi za Huyu mbuzi fyekelea mbali.
 
Awali nilikupongeza kwa hatua yako ya kupima HIV na jinsi ulivyoikubali hali ya kuwa na maambukizi ila kwa hili hustaili Pongezi bali Pole.
 
Hivi wewe hujionei huruma? mbona kama umechukulia swala la kuishi na VVU km ni sifa nzuri.
 
mkuu chanawaleti wewe ni lecturer maeneo flani huko nyanda za juu kusin
 
Back
Top Bottom