Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

Dah jamaa kaniacha mbavu nje....hasa pale alipoandika Fatherless bastards...dah msela katumia lugha ngumu sana.
 
jamaa anaweza kuwa kawafurahisha baadhi ya wanaume ila kwa lugha aliyotumia yaonesha wazi malezi au tabia aliyoadapt kipindi cha makuzi ya mpito ina walakini. unaweza sema maneno juu ya bastard children bila kujua inawezekana hata wewe ni mmojawao au hata wazazi unaojivunia sio biological parents. kuna mshkaji mmoja alikuwa na tabia za aina hiyo siku alipokuja kujua ukweli wa asili yake ilimiumiza hadi akajichukia. I respect all women bila kujali mapungufu yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom