Recent content by nemoo

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa

    Umenena ila cjapenda unapodharau house girl kwan co watu? Hawafai kuolewa? Acha dharau mwisho wa cku hata mwanao anaweza kuwa house girl tuache dharau!!!
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiona unaitwa majina haya, jitafakari tabia zako

    Mcharoo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa baa na glass (utafiti huru)

    Mlyuha Glass ni kwa ajil.ya wateja so wao ni wahudum tu, pia wanahofia poison, drugs n.k
  4. N

    JamiiForums Tanzania Killi Music Awards

    Hivi nyimbo za gospel na wasanii wake hawaruhusiw kushirik Kill music Awards????
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uwezo wa kufungua studio ya muziki; producer anatafuta kazi

    Mkuu ushapata sehem? Kuna mtu nimeckia kama anatafuta prod..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Star TV hamtendi haki

    Mi nimesomea hyo taaluma kiukwel..haitakiw hvyo ikiwa umemualika mgen mmoja bac mtangazaj lazima awe neutral huwez alika wagen wa mlengo mmoja nawe ukawa hukohuko kwanza hutakiw kuonyesha mihemko au mahaba yako upande fulan so kwa hapo star mhh cjui wamesoma wap.....k.nj.nj?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mnatutenga Ileje?

    Post imejaa hisia na ham ya mabadiliko Kamanda yuko vzr aisee tukiwa na watu kama hawa saf sanaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    Iweke mkuu Wajionee wenyewe!! Matomaso.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Dulayo wa Naumia roho

    Binafsi kama ww ni Dulayo nakukubali sana ndo mana nikaanzisha mada hii ni pm pls
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Dulayo wa Naumia roho

    Dah ila jamaa mkali sana aisee ana vocal flan hv amazing dah
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Dulayo wa Naumia roho

    Huyu jamaa nae ni mkali sana cjui kwann hatok dah wadau ebu tumjadil huyu jamaa Management au.........Kisakaaaa!!
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

    Miezi sita tuu yaan mimi mpenz wang mwaka wa tatu hajaniomba ela na na wala co wa kishua wala nn dah
  13. N

    JamiiForums Tanzania Daktari kumgegeda mgonjwa

    Ma Dkt wanakula kiapo akifanya hvyo mwisho wake huwa mbaya, anaweza kuwa chizi au kuharibikiwa kiakil akawa yupo yupo tu labda afanye hvyo baadae baada ya mgonjwa kupona na si hospitalin
  14. N

    JamiiForums Tanzania Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

    Dikteta au Rais ambaye ni jeuri
  15. N

    JamiiForums Tanzania Chanel ten mmetuzuga

    Kwang wamezingua....star times ndo tatizo mshikaj wang alikuwa anaangalia kupitia azam
Back
Top Bottom