ha ha hahahaHahahahaha! Nicheke Mie Mjukuu Wa Malehem,
Kuwa na kazi haina maana wanapata hela za kutosha. Kutegemeana na lifestyle wanawake wanahitaji mkwanja mrefu ambao mara nyingi hawawezi kuupata kazini peke yake.
Jamani wakuu ninacho kisema nikweli kabisa. Mpenzi wangu hajwahi kuniomba hela tokea nimeanza uhusiano nae nina miezi sita.
Nilishawahi kumuuliza kwanini hua huniombi hela,akanijibu hajazoea kuomba hela. sasa mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi lipi.