Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila wana mawazo juu ya biashara na fursa mbalimbali ambazo ukifanya maeneo ya chuo basi italipa kiasi chake.
2nashukuru sana ila sasa 2lio confirm ha2ja jibiwa had sasa kama confirmation zime fika au la..?
Cjui inakuaaje apo
Roho juujuu dingii[emoji34] [emoji34]
Wao wenyewe wana logana,kushindania madem..
Watafka lin huko istoshe system ya kusimamia haki za wasanii hakuna
Wana ban show wa2 wa3 iizo madollar watazisikia2 kwenye bomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.