Wanawake hayo yote kwa ajili ya nani?

Wanawake hayo yote kwa ajili ya nani?

Wanaume wa jf kwa kujifanyaga wake zenu hawawajali[emoji57]
Kama kungekuwa na jukwaa la malalamiko, Dada Shem nadhani yangejaa saana.

Sema tunayaweka vifuani tu, so for this guy nafikiri ashukuru tuu kwa hicho mke wake anachokifanya
 
Kama kungekuwa na jukwaa la malalamiko, Dada Shem nadhani yangejaa saana.

Sema tunayaweka vifuani tu, so for this guy nafikiri ashukuru tuu kwa hicho mke wake anachokifanya
Si ndio hili hili jukwa mnapolalamikiaga!!
Ila nanyi mmezidi jamani kama vile wake zenu hawana jema khaaaah!!
 
Si ndio hili hili jukwa mnapolalamikiaga!!
Ila nanyi mmezidi jamani kama vile wake zenu hawana jema khaaaah!!
Sio wote dadashemeji..... Wengine tunashukuru Mungu, alinichagulia kilicho sahihi
 
Hawa viumbe ukiwafuatilia saanaa unaweza ukajisahau ukadhani unaangalia movie ya maajabu kumbe live
 
Wengine urembo ni hulka yetu ......
Najisikia amani au furaha nkijiweka vzuri
 
Shem we unatupondaga tu sijui tulikukosea nini!!!!
Mnisamehe bure tuu, shemeji yangu!

Ila nawewe Dada shemeji unatupaga zauso saana. Tunakuwaga tunasonya kimya kimya tuu
 
soma maandiko mkuu yakutoe upumbavu mwanamke amefananishwa na pambo kwenye bible na maana ya pambo ni kitu ambacho kinakupa furaha muda wote ukikizama kwa uzuri wake

iv utaridhika kula wali nyama kila siku??? nooooo siku nyingine inabidi ule ugali ule ndizi na nk, hivyo hivyo kwa wanawake wanatakiwa kubadilika (kujipamamba) ili wewe mume uweze kumfurahia na mkumuona mpya kilasiku sasa kama wewe hutaki mkeo ajirembe basi pamaba na hali yako but unatakiwa kujua anafanya yote hayo ni kwaajili yako hata yeye akipendeza sifa zitakuja kwako
*virginboy*
Mie ni mwanamke ila sio kwa kujikoboa na macream makali makali,ma make up na ma eye shadow ya rangi. Jipende uwe simple but smart
 
Mnisamehe bure tuu, shemeji yangu!

Ila nawewe Dada shemeji unatupaga zauso saana. Tunakuwaga tunasonya kimya kimya tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani hadi wewe unanisonya!! Usinifanyie hivyo kaka shemeji.
 
Back
Top Bottom