Recent content by NELSON LANGSON

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa shule ya msingi auwawa huko Makambako kwa viboko vya Mwalimu!!

    Huyo mwl alikuwa anamchapa kichapa kichwani?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

    tujiulize sisi watawala tumekosea wapi?
  3. N

    JamiiForums Tanzania The true story from Masasi and what the government should learn and act

    LOWASA alisema ongezeko kubwa la vijana,wasio na ajira ni BOMU linalohitaji kuteguliwa kabla ya kuitega NCHI.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

    njaa mbaya,ameona aungane na mafisadi wenzake kudanganya watanzania ili waendelee kunyonya watanzania.Amkeni watanzania kumekucha
  5. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    pole Tanzania.pole sana tasinia ya sanaa.pole sana familia ya sajuki
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mgeni wa ITV Bulembo alivyoisakama CHADEMA mwanzo, mwisho

    hawa jamaa zetu ndio wanawatumia police kuvuruga mikuto ya cdm kwa masilahi yao,tumewagudua
  7. N

    JamiiForums Tanzania kutoka uwanja wa Mbowe karatu

    nami nafurahi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    tume yanini wakati ukweli unajionyesha kwenye picha, mnapoteza pesa za walipa kodi bila sababu za msingi.hawa police ni wauwaji,tumewastukia,kila mtu anawaelewa hamna namna ya kujitetea.
  9. N

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    tumewazoea kazi yao kukanusha kila tuhuma kaza mwendo mungu atatusaidia
  10. N

    JamiiForums Tanzania Takrima ya usafiri shilingi elfu tano ni balaa kubwa.

    ukiona unafadhiriwa usafiri na kupewa shilingi elfu tano kwenda kwenye mkutano wa chama ni dalili za chama hicho kufirisika kisera na ujue utazilipa hizo gharama,kwa kufisadi rasilimali za nchi yetu.si watu wazuri hawa kaa chonjo saa mbaya
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    hakuna usafiri wa bure, watafisadi kufidia gharama hizo. Bure aghari
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM itatawala milele

    kumekucha acha kuota,amka
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tazama hii picha ya CCM kuhusu mkutano wa Jangwani kesho!

    mfanye hivyo. Msipowalipia nauli hawatakuja mmepoteza touch mbele ya wananchi.kibaya chajitembeza
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kujiamini au kuchizika?

    tusiishi kwa mazoea,kwani kuna ubaya gani mwanamke akimtongoza mwanaume.tuache mfumo dume
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mzawa wa Zanzibar ni nani?

    colour is not a case.point up reliable, relevant and sufficient facts
Back
Top Bottom