Kujiamini au kuchizika?

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Si jambo la kawaida au lililozoeleka hasa kwenye jamii zetu za kiafrika hususan Tanzania kumuona mwanamke akimuanza/akimtongoza mwanaume. Hali hii nimekua nikikutana nayo na mara nyingine kuisikia kwa watu..Sintofahamu katika hili ni je MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME NI KUJIAMINI au KUCHIZIKA?
 
nipe maana ya kujiamini na kuchizika.

Na kwa nini umechagua maneno haya?
 
Wapo wanaotongoza,wengine tamaa,wengine kupenda.siyo kila tongozo unakubali tu.embu tafuta wako umpendae.
 
ni kujiamini, kujua unachotaka na kukitafuta kwa udi na uvumba..
 
Hivi tatizo liko wapi bandugu. Bazazi alidumu katika mahusiano yaliyoanzishwa na mwanamke.

mapendo ni Mapendo tu hakuna cha JINSI au JINSIA.

Bazazi ni Bazazi!
 
hamna shida hata wanawake nao wanapenda so wanaweza anza kumtongoza mwanaume, sema sis wanaume hatujiamin tukitongozwa na ke
 
Hebu jiulize kwani wanawake wana mioyo ya chuma????kama amependa na mdomo kwanini asiseme??!! Wapi iliandikwa ni wanaume tu ndio wanaotakiwa kutongoza na si wanawake! TUBADILIKE
 
Back
Top Bottom