Tazama hii picha ya CCM kuhusu mkutano wa Jangwani kesho!

MIMI sijaelewa mbona Tangazo limetolewa katika ITV na TBC taarifa ya habari saa 2.00 kuwa kesho upo Mkutano
 
Kwa mara kadhaa tumekuwa tukisema hapa jamvini kuwa CCM haiwezi kupata watu kwenye mikutano yao bila kupakiza watu kwenye malori.Nape naomba ujibu hili.Usije ukasema tunakurupuka........

attachment.php
 
TAARIFA RASMI

Mwenye namba 0752316376 ni JAMES KAJUNA. na ole wake wanachuo wakose hilo gari wakati wa kurudi chuo/hoster ndo atakiona cha moto...
Huyo dogo Kajuna namfahamu ni tozi,sharobaro sana. Alikuwa mwenyekiti wa Block C Mabibo ktk serikali ya daruso iliyopita. Yupo mwingine kule main campus anaitwa MZUMA. Hawa ndo vibaraka wa magamba hapa Udsm.
 
Jamani vip mbaona nape anashtuka? Kashikwa wapi? Na chama gani?
 
vijana wanaanza UE jumatatu,sijui kama kuna mwenye akili timamu atakwenda huko kwa magamba.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom