Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

Kwani shamba lake LA nyanya bad analimiliki?si ashauriwe arudishe majeshi kwenye nyanya?maskini Mzee wa watu
 
Akampe story mwenyekiti wake anayeshinda akipiga picha na watu wote maarufu duniani!

alianza na Steven Seagul, akafuata Usain Bolt, then Schwarznegger, then Drogba, baadae 50 Cent, mara Tutorial Assistants wa Columbia University, mara kaenda kubembea jamaica, mara na Jacob Zuma, then atapiga picha na hata kaburi la marehemu Bruce Lee na Michael Jackson.
 
Binafsi nimefurahishwa sana na WanaIringa kuonesha wazi hawakitaki chama cha mapinduzi CCM.
Kubwa zaid ccm waliomba msaada wa polisi kuwapiga mabomu na kuwakamata wananchi ambao walikuwa wanaonesha hisia
zao kuipinga ccm lakini polisi waligoma kutumika kwani wananchi walikumbushia kifo cha Mwangosi kwa kuimba kuwa tunamtaka Mwangosi kama vipi na sisi tupo tayari kufa
 
Makamu mwenyekiti wa ccm taifa philp mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa ccm katka viwanja vya mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa ccm (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa. Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.
Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na ccm yake. aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA. Mungu wang chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.
AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
Safi sana wana Iringa, huyu anafahamika sana kama kiongozi wa kampeni chafu dhidi ya upinzani. Na laana hiyo lazima imtafune. Hebu fikiri tokea apewe madaraka aliyonayo alivyoimarisha mkakati wa kusambaza rushwa kwa wasaliti ili kufanikisha malengo yao ya kubakia madarakani mradi walioutekeleza pia enzi za NccRm.
 
Makamu mwenyekiti wa ccm taifa philp mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa ccm katka viwanja vya mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa ccm (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa. Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.
Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na ccm yake. aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA. Mungu wang chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.
AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
Si walisema wanataka kukomboa jimbo,Aibu wameipata.:cheer2::cheer2::cheer2:
 
Huyu mzee nae sijui nani
alimdanganya arudi tena kutumiwa na Hawa makijani si bora angeendelea tu
kulima Nyanya jamani,watamuua tu mapema mzee awa watu hili jahazi
lilishazama Mbona..........nahisi nae sahizi anajua alishachemka njaa
haina adabu ila....

njaa mbaya,ameona aungane na mafisadi wenzake kudanganya watanzania ili waendelee kunyonya watanzania.Amkeni watanzania kumekucha
 
Ataishia tu kulamba galasa, na atazeeka maradufu ya hapo!
 
Vipi wale mapandikizi walirudisha kadi za kichina?Babu anacheza miezi inaekwenda sita siyo mbali countdown miwili imeshakatika
 
huyu mzee nae sijui nani alimdanganya arudi tena kutumiwa na hawa makijani si bora angeendelea tu kulima nyanya jamani,watamuua tu mapema mzee awa watu hili jahazi lilishazama mbona..........nahisi nae sahizi anajua alishachemka njaa haina adabu ila....
njaa kweli noma.
 
mv. magamba haina mwelekeo. dira mbovu inakwenda hovyo na haina mzigo wowote wa muhimu bali ahadi tu. lazima ipelekwe puta na upepo wa m4c. ccm rest in hell forever with your members
 
Wananchi wengi wameshafunguka si wakati tena wamaneno ya porojo wanataka wapatiwe ufumbuzi wa hali ngumu ya maisha inayowatesa kila siku tangu uhuru
 
Time will tell. Chama hata kikiwa kizuri kikikua sana kinachokwa. Ukiongezea na madudu mengi ya chama hiki kikongwe inahitaji nguvu ya ziada kushawishi umma. Watu hupenda fashion mpya.

lakini jamani siku nikiona mambo ya kenya yanahamia TZ nitajua kumekucha,watu vyama viungane na jibu mtaliona,tujaribu method hii na reward mtaiona,viva africa.
 
Aisee hawa jamaa nimewachoka sana tuu CCM ni km ki... cha mlevi
 
Bado ngoja kamati kuu imalize vikao na kisha baraza kuu limalize nalo kikao kisha M4C ifunguliwe ndipo watakapojua kuwa kifo chao kiko tayari na sio kama ambavyo wanashinda wakiombea na kufanya hujuma za kutaka kuiua CDM.wakati wanafanya hivyo sumu kali inawarudia wao,wataijua CDM ni kitu gani.
Nawakumbusha tena watanzania kuwa mwaka 2013 umetangazwa kuwa ni mwaka wa nguvu ya umma.next time umma utawashusha majukwaani pale ambapo watashindwa tena kuongelea namna bora ya kutatua kero za wananchi huku wakiwadharau na kuwabeza kama vile si binadamu wanastahili heshima zao tena ni walipa kodi na ndio wapiga kura.kumbukeni kauli alizotoa Muhongo wana Mtwara wamemjibu.
 
Back
Top Bottom