Recent content by NEIMAA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

    Swala ni muda au kukutana na watu?soma uzi uuelewe vzr, naweza kuwa na muda mchache lkn nikawa nimekutana na watu wengi tofauti na mwenye miaka mingi humu!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

    Daaah mm numekutana na watu ila wengi waongo
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho pekee la kupunguza migogoro ya ndoa

    Ofkozi is about me,Kinakuuma nn ww??pita kule!!
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho pekee la kupunguza migogoro ya ndoa

    Hata mm naona kuna mambo umeanza kuyaongea hapo ukaishia njiani, tujuze tujue ikiwa mmeachana issue za mgawanyo zinakuwaje,au vitu gani vyakugawana na inakuwaje!! Au ikitokea kuna sintofahamu mmoja wa wanandoa haoni kuendelea na ndoa afanyeje?hii imekuwa ni tatizo sn hasa wakati huu!!
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    I second you.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

    Hahahahaha!! Mnanichekesha ninyi, kwann hamjiamini kiasi hicho!! na hamuwaamini wanawake kiasi hicho!! Trust me niwaambie ukweli, bado wapo wanawake wakweli, wenye mapenzi ya kweli nawanaojua kupenda, waaminifu na walio serious na mahusiano,tusikariri, yamkini yy kabahatika kumpata wa hivyo na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mohamed Dewji "Mo" hatumii bidhaa zake?

    Ni kweli, ila Mbeya kuna binadamu kama ww wanaishi nakufanya yao mkuu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mohamed Dewji "Mo" hatumii bidhaa zake?

    Aisee!! Inawezekanaje!! Ama kweli[emoji2297][emoji2297]
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

    Wish you the best mkuu,love is a best thing,hakuna upendo bila kutoa,kama unavyosema ukipenda hautaombwa, ww mwenyewe tuu utafeel kufanya vitu vzr kwa yule umpendae.Keep it up bro!! Mungu awabariki uje kumuoa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha watoto: Watoto tujikinge na COVID-19

    Hongera sana napenda watu wanaochangamkia fursa namna hiyo!! mm ntahitaji copy 50, all the best mkuu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha watoto: Watoto tujikinge na COVID-19

    Hiyo haizuii wao kujifunza jinsi yakujikinga mkuu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa biashara ya juice ya miwa, mtaji ni milioni 1-2

    Bonge la wazo aisee,asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa biashara ya juice ya miwa, mtaji ni milioni 1-2

    Asante, sema tu wala usiogope, mm mwelewa my dear,napembua siwezi beba kila kitu,nasoma nakupima mambo, karibu usishindwe kunipa wazo zuri kwasababu yoyote. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa biashara ya juice ya miwa, mtaji ni milioni 1-2

    Hahaha!! Kwahiyo umejiandaa kabisa kupokea yote. Una maanisha biashara ya forex au?
Back
Top Bottom