Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,565
Habari wadau wa JamiiForums
Napenda kuwatangazia kitabu kipya Cha watoto kinachoitwa WATOTO TUJIKINGE NA COVID -19 kilichoandikwa kwa lugha ya kiswahil I na kingine HOW KIDS CAN FIGHT COVID -19 ambacho kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza
Kitabu hiki ni kwa ajili ya watoto wa umri wa miaka 5 mpaka 13.
Pia kitabu hiki kitamwezesha mtoto kutambua njia mbali mbali za kujilinda na kumlinda mwenzake asipatwe na maambukizi ya covid-19
KITABU kinapatikana kwa sh 10,000 atakaehitaji karibu pm
Mlinde mtoto wako ajifunze kabla ya kufungua shule na pia atakitumia atakapofungua shule
Maduka makubwa ya vitabu TUWASILIANE il tufanye biashara