Ingekuwa Sauli Imepata ajar ungekuwa wimbo wa Taifa kila mtu angesema na kila media ingepost hata watu wa usalama barabarani nao wangesema kuwa kila siku anapata ajali amezidi wafungiwe wakati hawa Newforce ndiyo deile wanapata ajali wanakimbia ving'amuzi wanachakachua wawe wakwanza kufika Mbeya...
Ni above.
Hao madas, wakurugenzi na wakuu wa idara wa lga ndiyo wanacheza kwenye tatu point tano na kuendelea.
Jua DC yupo juu yao
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kama upo Dar nenda magomeni kuna hospital inaitwa Ekenywa kapime allergy wale ni mabingwa wa magonjwa ya ENT Ear Nose Throat.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hawezi sema mshahara wa DC kwenye kadamnasi.
Yeye ametaja kiasi anachochukuwa baada ya kukatwa kodi.
Chunguza vizuri ujue DC anachukua kiasi gani ndiyo uje hapa. Wapo above 4.5M kwa mwezi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu Shikamoo.
Kama Mwenyezi Mungu akakujalia na ukapata muda tunaomba japo kwa kiduchu hii ya Hatimaye Rose ameniPM
Kuna funzo kubwa sana nalipata hapa kupitia hizi simulizo zako.
Asante
Karibu sana kusini.
Mara ya mwisho kuja huku ni mwaka gani?.
Lindi imefunguka siku hizi kwa gari binafsi ni masaa matano na basi masaa sita mpaka saba.
Kuna nyumba mpya za National housing zimejengwa lakini pia zimeuzwa kwawadau
Nipo Lindi kwa miaka kadhaa sasa.
Nasikitika kusema kuwa bandari ndiyo inaendelea na ukarabati hakuna meli za abiiria sababu ya kufunguka kwa barabara ya kusini.
Ila huu mji hauna tax kama ilivyokuwa miaka hiyo.
Fun enough ninaishi national na maeneo hayo hayo uliyoelekeza nyumba ziliuzwa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.