Kama upo Dar nenda magomeni kuna hospital inaitwa Ekenywa kapime allergy wale ni mabingwa wa magonjwa ya ENT Ear Nose Throat.Wanajamvi mimi naomba ushauri kupitia ukurasa huu wa doctor, usiku nikianza kusinzia au nikikaanga kitunguu, yaani koo linawasha natamani kujikuna na kidole ila siwezi, naomba ushauri na tiba tafadhalini.