Recent content by negotiator nodegi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

    Naomba picha ya dash board tusome speed Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

    Hayo mambo ya kutamani kumpigia ndio hayataki ndio maana hakupi namba
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

    Kwani CHADEMA isiposhiriki mnapungukiwa nini kwa mfano?
  4. N

    JamiiForums Tanzania CAG anapaswa kujiuzulu kwa kukiuka utaratibu

    Report ya CAG ikiwasilishwa kwa serikali inakuwa mali ya wananchi, so CAG anatoa muhtasari wa mambo mbalimbali yaliyojiri..jifunze uelimike ndugu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    Ila mkuu ki ukweli unapambana ni vile nyota yako haijatosha ila vuta subira bado nafasi zipo wakubwa watakuona.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta platform ya watu hawa kwenye mitandao ya kijamii ili nichangamane nao mwakani

    Sikumbuki wakati wowote bangi kuhalalishwa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwa Upinzani tunapojiandaa na Uchaguzi wa 2025

    Binafsi sio haja ya kufanya uchaguzi mwingine kwa uharamia walioufanya ccm. Ni wakati sasa wa kuwaacha watanzania waburuzwe kwanza na ccm mpaka watapoamua kukiondoa hiki chama na utawala kwa maandamano.
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    Na ya sheikh Alhadi ilikanushwa au ndo wamesubiri mpaka Ponda ndio kuanza kukanusha?
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli amesaidia vijana toka vyuo kuajirika na wana maisha bora

    Kama umefuatilia kampeni utaona mgombea urais ccm alikuwa akimlaumu rais anayemaliza muda wake kwa vijana kukosa ajira, sasa wewe na unafiki wako unasema wameajiriwa liwe funzo.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Mkuu kuwa mkweli au umezipeleka kwenye maendeleo[emoji3]
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Kweli kuna watu hawajitambui kwahiyo anataka kusema wasio na elimu wanalala njaa???
  12. N

    JamiiForums Tanzania Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?

    Mkuu naona unataka kuleta taharuki Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

    Mkuu punguza woga mwisho wa dunia bado sana, jambo la msingi ni kuandaa maisha yako tu ili siku ukiaga dunia basi iwe heri huko uendako vinginevyo haya yanayiendelea yanabaki kuwa changamoto za hapa dunia. Wataalamu wanaeleza changamoto upande mwingine ni muhimu maana zinakuwa zime wachallenge...
Back
Top Bottom