kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 409
- Thread starter
- #21
Wakat wa garika la Enzi za nuhu mvua zilikua hazipo tokea mwanzo?Magonjwa ya mlipuko yalianza tangu mwaka 1789 hayajaanza leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakat wa garika la Enzi za nuhu mvua zilikua hazipo tokea mwanzo?Magonjwa ya mlipuko yalianza tangu mwaka 1789 hayajaanza leo.
Haha taratibu mkuualiyekuambia planet = planett ni nani? saa zingine uwe unaficha ujinga wako.
For which facts?Sema tu Uzi wangu wameuunganisha na uzi mwigine, nimeshajibu hoja yako kabla ya wewe kupost Uzi huu.
Sijabisha kuwa huu si mwisho wa dunia but corona haina uhusiano na mwisho wa dunia
usikalilibado 666 haijawa dhahiri, dunia haiwezi kufika mwisho kizembe hivi, na yule mnyama hajaja
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa matusi ya nini? kama bible ilisema hivyo, na ndiyo yanatokea, huwezi kujiongeza hapo!Na ukimwi utasemaje cancer jee
Nyie ndo mnafanya dini zionekane upumbavu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nakufa hata sija play role yangu iliyonileta hapa duniani
si umesikia WHO wanasisitiza matumizi ya fedha za boti kusitishwa na hapo ndipo hiyo chip aka chapa inapokuja katika uhalisia wa waziwazi achana na kadi ya benki au simcard.bado 666 haijawa dhahiri, dunia haiwezi kufika mwisho kizembe hivi, na yule mnyama hajaja
Sent using Jamii Forums mobile app
How??ugonjwa wa corona unakuzwa na media mkuu acha KUPANIC.... Hiv umejiuliza is it practically possible nchi yenye watu 1.2billion, na inayoongoza kwa uchafu duniani na pia imepakana na china {india} inakua na case 60 then then nchi safi yenye watu mill 60 (itally) inakua na maelf ya wagonjwa??? Shida ya watu mnapenda sana kumissuse maandiko
Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..
Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.
Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba
Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kiongozi kuachana na kadi au simcard kuna tatizo gani?si umesikia WHO wanasisitiza matumizi ya fedha za boti kusitishwa na hapo ndipo hiyo chip aka chapa inapokuja katika uhalisia wa waziwazi achana na kadi ya benki au simcard.
Sent using Jamii Forums mobile app