Natafuta platform ya watu hawa kwenye mitandao ya kijamii ili nichangamane nao mwakani

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,571
15,321
1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.

2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods.

3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (Abrahamic God).

4: Watu ambao wanaamini katika Familia ya Baba na Mama na Watoto bila mchepuko au make mwenza.

Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.

Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup la Whatsapp au social network yoyote.

Msaada wakuu.
 
1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni Kuanzia 1Bil. Au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.

2: Watu wanye mpango wa kuwa vegans ( no animal products) au hawali dead foods.

3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (abrahamic God).

4: Watu ambao wanaamini ktka Familia ya Baba na Mama na watoto bila mchepuko au make mwenza.

Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.

Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup LA Whatsapp au social network yoyote.

Msaada wakuu.
Njoo nikupe namba ya Mfalme wa Thailand na Crown Prince wa Brunei. Hao wana returns za kutosha mkuu
 
Hao kama ni watu labda uwatengeneze wewe
Ikifika January 1, sijapata wakunitosha maana Baraka watu kama Sabuni tu. Ntafuata ushauri wako. Physically ninao kama wanne hivi ila hawatoshi. Alafu wamezungukwa na wasioamini hivyo rahisi kushambuliwa na kurudi normal
 
me nadhan ji multiply wewe menyewe idadi unayotaka ufanya unachotaka .HAO WATU HAKUNA MKUU.
 
1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja.

2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods.

3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious na mahusiano yao na Mungu (Abrahamic God).

4: Watu ambao wanaamini katika Familia ya Baba na Mama na Watoto bila mchepuko au make mwenza.

Kama kuna sehemu wanapatikana watu hawa online at least kimoja Wapo tupeane taarifa wakuu.

Sio lazima iwe Tanzania hata kama ni Alaska au Antarctica na wanagroup la Whatsapp au social network yoyote.

Msaada wakuu.
Ukiwapata nishtue
 
Back
Top Bottom