CAG anapaswa kujiuzulu kwa kukiuka utaratibu

Nasikitika sana kwa nini CAG asinge kuwa muwazi kipindi cha Mwendazake. Hivi sasa analeta sintofahamu kwa Mama yetu
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu

Dogo tulia who cares?? majizi aka wazalendo lazima watumbuliwe.
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu
Habari za Geita mkuu
 
Nilichogundua kuna baadhi ya watu hawajapenda ripoti ya CAG kwani imeonekana kuichafua serikali ya Magufuli...tatizo watu hawa waliona Magufuli ni zaidi ya Binadamu wa kawaida walimuona kama Malaika au Mungu mtu...sasa wanatumia nguvu kubwa kutetea imani yao juu ya Hayati Magufuli
 
Control- kwa maana ya kudhibiti, nadhani ni kama ilivyo elezewa kwenye katiba. Ibara 143(2)

(A)kuhakikisha kwamba fedha zozote zinazokusudiwa kutolewa kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali matumizi yake yameidhinishwa na kwamba zitatolewa kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 136 ya Katiba hii, na iwapo atatosheka kwamba masharti hayo yatatekelezwa ipasavyo, basi ataidhinisha fedha hizo zitolewe;

(b) kuhakikisha kwamba fedha zote ambazo matumizi yake yameidhinishwa yatokane na fedha zilizomo katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali au fedha ambazo matumizi yake yameidhinishwa na sheria iliyotungwa na Bunge, na ambazo zimetumika, zimetumiwa kwa ajili ya shughuli zilizo husika na matumizi ya fedha hizo na kwamba matumizi hayo yamefanywa kwa kufuata idhini iliyotolewa kuhusu matumizi hayo;

Sent using Jamii Forums mobile app

Okay nimeelewa Chief
 
mpumbavu mbwa wewe mbona marehemu makufuli aliposhika madaraka hakufukua machafu ya kikwete na alisema hawezi kufukua makaburi mtashindwa kurudisha michanga alikaa kimya kumsitiri mwenzake
Mbwa mamako
 
Jamaa huyu kwa kweli hajui mipaka yake....!!??
mambo ya foleni yanaihusu vipi ofisi yake....
hiyo ni kazi ya wataalamu wengine ie Tanroads
Hiyo pia ni kazi yake.

Anawashirikisha wataalam wengine kutoka fani zingine mfano TANRROADS.

Hii ni according to ISA 620 using the work of other expertise.
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu
Wakati mnawananga akina JK walinyamaza kimya wakawaangalia na kucheka tu maana hawakuwa na namna..... Leo zamu yenu mnataka muonekane wema? Tulieni bhana unajua wakati dose ya Procaine inaingia usihangaike tulie ili upone.....
 
Report ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwasilishwa bungeni au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano inapaswa kujibiwa kwanza na vyombo hivyo.

Inakuaje Mkaguzi Mkuu huyu wa hesabu za serikali kawasilisha report na report haijajibiwa anaenda kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari hii jambo sio la kawaida pia sio sawa kiutendaji kitu.

Mh raisi tunaomba umsaidie hii kazi huyu CAG wetu
kama kagusa maslahi yako,pole mkuu
 
HUJUI UTARATIBU BWANA. ACHA KUTUSUMBUA
 
Hamia chato kaburini pale
 
Au wewe kigwangala
 
Hivi nani anakagua ofisi ya CAG isiwe anawaseme tu wenzake kuonekana wao ni malaika na wanafanya kazi kumbe nao ni walewale, nae akagulie kutoka mamlaka nyingine tena zitoke nje ya nchi
 
Report ya CAG ikiwasilishwa kwa serikali inakuwa mali ya wananchi, so CAG anatoa muhtasari wa mambo mbalimbali yaliyojiri..jifunze uelimike ndugu
 
Back
Top Bottom