Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.
Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani...
Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020.
Tukumbushane kidogo baadhi ya Mambo au Miradi inayotekelezwa au iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...
SERIKALI imeendelea kuwang’ang’ania wakurugenzi wa Kampuni ya Kusimamia shughuli za Upatu, kwa mtindo wa Kupanda Mbegu na Kuvuna Fedha (DECI), kwa kutaka kutai sha mali zenye thamani ya Sh bilioni 14.1 zilizopatikana kupitia kampuni hiyo.
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga...
WAKAZI wa maeneo ya Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, watasahau tatizo la kukatika umeme ifikapo Aprili 30, mwaka huu. Hiyo ni kutokana na matarajio ya kukamilika ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme cha Kurasini cha 132/33kV, kitakachopeleka umeme wa uhakika Kigamboni, ambapo...
WAKALA wa Barabara nchini (Tanroads) umesema ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange), umefanyika kwa asilimia 25 mpaka sasa na umeanza kudhihirisha ukimalizika, utamaliza tatizo la msongamano wa magari huku ukijenga taswira mpya ya Jiji la Dar es Salaam.
Aidha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.