Search results

  1. neema shamuhenya

    Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

    Mijitu hovyo kweli uataiona tu haifurahii maendeleo ya wengine hata siku moja
  2. neema shamuhenya

    Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

    Mambao yanaonekana wala hakuna nguvu hapo kawaida sana
  3. neema shamuhenya

    Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

    Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana. Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
  4. neema shamuhenya

    CHADEMA wameshapotea kwa hili la kukimbiwa na wabunge wao wenye weledi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani...
  5. neema shamuhenya

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi mkuu Oktoba hu waja

    Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020. Tukumbushane kidogo baadhi ya Mambo au Miradi inayotekelezwa au iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...
  6. neema shamuhenya

    DPP awang'ang'ania vigogo wa DECI

    SERIKALI imeendelea kuwang’ang’ania wakurugenzi wa Kampuni ya Kusimamia shughuli za Upatu, kwa mtindo wa Kupanda Mbegu na Kuvuna Fedha (DECI), kwa kutaka kutai sha mali zenye thamani ya Sh bilioni 14.1 zilizopatikana kupitia kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga...
  7. neema shamuhenya

    WAKAZI wa Kigamboni mkoani kusahau tatizo la kukatika umeme ifikapo Aprili 30, mwaka huu

    WAKAZI wa maeneo ya Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, watasahau tatizo la kukatika umeme ifikapo Aprili 30, mwaka huu. Hiyo ni kutokana na matarajio ya kukamilika ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme cha Kurasini cha 132/33kV, kitakachopeleka umeme wa uhakika Kigamboni, ambapo...
  8. neema shamuhenya

    Ujenzi Ubungo interchange wafikia 25%

    ni kweli kabisa umenena point
  9. neema shamuhenya

    Ujenzi Ubungo interchange wafikia 25%

    ZA UJENZI SIO ZA MAANDALIZI
  10. neema shamuhenya

    Ujenzi Ubungo interchange wafikia 25%

    WAKALA wa Barabara nchini (Tanroads) umesema ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange), umefanyika kwa asilimia 25 mpaka sasa na umeanza kudhihirisha ukimalizika, utamaliza tatizo la msongamano wa magari huku ukijenga taswira mpya ya Jiji la Dar es Salaam. Aidha...
  11. neema shamuhenya

    Fokker 50 ya ATCL kuanza kwenda Mtwara Mei 15

    HEEEEEE KWA NINI POLEPOLE NA MAKONDA????
  12. neema shamuhenya

    Waziri wa Madini Uganda afurahishwa na usimamizi wa sekta ya madini nchini

    Waziri wa Madini Nchini Uganda, Peter Lokeris amesema kuwa amefurahishwa na usimamizi wa sekta ya madini nchini Tanzania na kusisitiza kuwa Uganda bado itaendelea kutuma wataalam wake pamoja na wachimbaji wadogo wa madini nchini Tanzania kwa ajili ya kujifunza namna bora ya uchimbaji na...
  13. neema shamuhenya

    Mtwara: Rais Magufuli awasamehe Kangomba na kutaka walipwe kwa watakaokiri

    RAIS John Magufuli amemaliza sakata la korosho kwa kutoa maagizo yanayokata mzizi wa tina kwenye zao hilo. Akizungumza mjini Mtwara jana, ikiwa ni siku yake ya kwanza kwenye ziara ya kikazi katika mkoa huo, Rais Magufuli alisema wakulima wote wenye madai halali ya korosho watalipwa huku akitoa...
  14. neema shamuhenya

    Fokker 50 ya ATCL kuanza kwenda Mtwara Mei 15

    BAADA ya kukabidhiwa rasmi na serikali ndege aina ya Fokker 50, Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) imesema itaiingiza ndege hiyo katika ratiba yake ya safari za ndani ya nchi. Miongoni mwa safari hizo za ndani ni pamoja na ya Mtwara ambayo itaanza Mei 15 mwaka huu pamoja na ya Iringa, inayotarajiwa...
  15. neema shamuhenya

    Rais Magufuli ashangazwa mkandarasi aliyeboronga kupewa mradi mwingine

    Rais John Magufuli ametoa maagizo kwa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kutotoa kandarasi nyingine kwa kampuni inayotekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Mtwara-Mvinata hadi akaikamilishe ya sasa. Ameeleza hayo alipokuwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu...
  16. neema shamuhenya

    SERIKALI imedhamiria kuimarisha utabiri wa hali ya hewa nchini

    SERIKALI imedhamiria kuimarisha utabiri wa hali ya hewa nchini ku kia uhakika wa utabiri kwa asilimia 95 baada ya kusaini mkataba wa ununuzi wa rada mbili za teknolojia ya kisasa, ambayo Tanzania inakuwa ya kwanza kuwa nazo katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Rada hizo aina ya S-Band Radar...
Back
Top Bottom