Recent content by Ndulime 1.

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sipendi mwanamke anayevua chupi mwenyewe

    Kweli aisee!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum wa kujivua Uanachama ndani ya CCM

    Dhuuuuuh! Maisha aisee!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Voda waongeza gharama za Bando?

    Vifurushi vyote vipo wadau! Isipokuwa wameongeza na kubadilisha mpangilio wa kuingia. Bonyeza *149*01# chagua 5(Internet mwaka 1bure), tena chagua 1. Internet (mwaka 1 bure). Ndipo utaona Vifurushi vyote vya 24hrs, week na mwezi. Yaani hata Vifurushi vya walalahoi vipo kama kawa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

    Mimi huwa sipendagi mtu anizoee haraka hasa kwa mtu nisiye mjua au sijawahi kukutana naye. Kwani utapeli wa kuleweshwa umeenea sana karibu kila kona ya Tanzania.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hata kama umesoma namna gani na hujui hivi vitu, bado wewe ni Primitive!

    Hili no. 1 nimelikubali haswaa!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV waondoa chaneli za bure

    Hapa lawama zote ni kwa TCRA, kwa 7bu ndiyo Mamlaka iliyoutangazia Umma kuwa Ving'amuzi vyote vitazimika kuonyesha bure local channels zote ndani TZA. lakini azam TV, continental decoder, zuku usipolipia tuu huondoa / hufungia channel zote. Ambapo ni usumbufu mkubwa kwa watz wa kipato cha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je ? Unajua Vigezo Vinavyotumika Kuvunja Ndoa Mahakamani?

    Haya no 1, 2 na 4 ni sahihi na ndo vigezo na sababu 1wapo zaweza pelekea mahakama kuridhia kuvunjwa kwa ndoa. Mengine hayo ni minor.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mvua inyeshe lakini sio Dar es salaam

    Hii mvua inanyesha balaaa hadi huku kimara. Tujihadhari kwa lolote!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuwadhibiti wezi wa madirishani

    Asante sana kwa elimu ya kuthibiti wezi majumbani.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Ahahahahahaaaaaa! Mengine yote yanavumilika isipokuwa unapopita mchango wa kulipia umeme na maji. Hapo ndo kimbembe.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sibuka FM kufungiwa na wafanyakazi waanza kulia

    Tcra sasa imeamka.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge viti maalum CCM toka Lindi ajiunga na CUF mbele ya Maalim Seif

    Kazi kweli kweli kwa wanasiasa!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

    Hakuna Ukweli wowote juu ya hii maada. Maendeleo ya kifamilia na kitaifa kwa ujumla hayategemei kabila fulani.
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    Safi sana kijana mwenzangu mtatiro kwa kupisha mgombea wa cdm. Nashauri tazama jimbo jingine gombea na utashinda tuu.
Back
Top Bottom