Baada ya Sibuka FM kufungiwa na wafanyakazi waanza kulia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
wake sasa wanalia huku wengine wakiwa wamechanganyikiwa wasijue nini cha kufanya kwani japokuwa wana channels mbili za tv za sibuka maisha na tv sibuka lakini ni redio tu ya sibuka fm iliyopo maswa na sasa masafa yake yanapatika dar ndiyo iliyokuwa pekee inaiingizia mapato sibuka media company.

ikumbukwe kwamba wafanyakazi wa sibuka media company hasa wale waliopo katika ofisi za mwenge ambapo ndipo kuna kituo kikubwa na kuna channels hizo mbili za tv tajwa hapo juu hadi leo hawajalipwa mishahara yao ya miezi 5 na wengine 3 huku uongozi wake kupitia rais aliyefurumushwa wa msalaba mwekundu na mbunge aliyeshindwa kurejea tena bunge la afrika ya mashariki na kati na mtia nia aliyeshindwa katika kura za maoni za ccm za kutaka kuwa mgombea wa ubunge maswa ( jina kapuni ) ambaye ndiyo md na mkewe ambaye alianzia kuwa hawara yake tokea akiwa mesenja hapo hapo sibuka kisha akaharibu ndoa ya huyo md hadi akapandishwa cheo na kuwa bdm ( jina kapuni ) ukituhumiwa kwa unyanyasaji wa kiwango cha juu kabisa kwa wafanyakazi wake.

hivyo mara baada tu ya taarifa za kufungiwa kwa vyombo vya habari na mamlaka ya mawasiliano tanzania ( tcra ) kupatikana muda mfupi uliopita wafanyakazi wa sibuka media company sasa ni kama wamechanganyikiwa wakidai kuwa kwa adhabu hii ya kufungiwa na tcra kwa miezi mitatu kuanzia jumatatu ijayo tarehe 18 ndiyo imekuwa kitanzi kwao sasa kwani wataishi maisha ya shida na ya dhiki kuliko hata haya wanayoyaishi sasa. na kinachosikitisha zaidi ni kwamba uongozi wa juu kabisa huo tajwa hapo juu umekuwa ukionyesha dharau za wazi wazi kwa wafanyakazi wake ambapo sasa imekuwa ni kitu cha kawaida mno kwa wafanyakazi wanaohoji maslahi yao kufukuzwa huku mabosi hao mtu na mkewe wakiishi maisha ya starehe na ya gharama kubwa hadi kununua gari la kifahari aina ya benz kwa faida ambayo inaletwa na hao hao wafanyakazi wanaowanyanyasa huku wakiwanyima mishahara yao.

ukiwa kama mdau na great thinker humu jf unadhani ni njia gani tuwasaidie zaidi ili hawa wafanyakazi wa sibuka media company wa makao makuu mwenge na wale wa maswa waweze kupata haki zao? kwani wafanyakazi wote wa sibuka hasa wa hapo mwenge wamekuwa ni omba omba wakubwa hadi imefikia kipindi majirani wa hapo wakiwaona tu wanawakwepa kwani wanajua baada tu ya salamu mzinga unakuja ( kuomba hela ). wanataabika sana jamani hebu tuwasaidieni!
 
Taifa lisilo na haki, kila kitu dhuluma, nimeshasema kuwa maendeleo mtayasikia kwenye TV tu watanzania sisi.
 
Wewe si upo serikalini, wasaidie Wewe.
 
mbona umeleta habari ipo ki "judgmental" hivi, ukileta habari jaribu kuleta habari ambayo ipo neutral kidogo, unapoweka vikorombwezo vyako viiingi hivi unaonekana kama una personal issues na huyo unayetoa habari zake, hii haihitaji kua na taaluma ya uandishi wa habari ili kujua, pia uwe unaweka na chanzo cha hiyo habari, vinginevyo itakua inapuuzwa na watu waelewa
 
Zimefungiwa au zinadaiwa, wakifungiwa hiyo kodi itapatikanaje au kinachofuatia kufilisiwa na kuuzwa mali kufidia hiyo kodi.
 
Baada ya kula ikawa je sasa?
Bongo ngono ndo sifa, jinga wewe

Halafu jinga kweli hilo eti nimekula sana "so what!" Mwenyewe umekuta kashaliwa halafu by the way si ni KE huyo kuliwa ni sehemu ya maisha yake what's so new! Nyambafu
 
Back
Top Bottom