Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Habari za jioni wana Jamvi nimejaribu kununua kifurushi cha internet cha wiki ambacho kilikuwa kinauzwa sh.4000 lakini leo kinauzwa sh.8000 na kifurushi cha siku ni sh.2500 badala ya sh.1000.
Naomba kama kuna mtu ana taarifa zaidi anijuze tafadhali.
Naomba kama kuna mtu ana taarifa zaidi anijuze tafadhali.