Mvua inyeshe lakini sio Dar es salaam

aikaruwa1983

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,398
1,500
Wadau niko pande za Tabata kuna mvua inanyesha sasa hivi si ya kawaida.

Vip wadau wa Dar hii kitu ni mji mzima au, usingizi wote umekata na nishaanza kusikia harufu ya maji machafu hatari!
 
Panapo majaaliwa, alfajiri kesho mapemaaaa barabarani. Sipati picha foleni lake, maana njia zote za panya hazipitiki. Pale TAZARA ni majanga hasa kumbuka hujaza maji njia zote
 
wadau niko pande za Tabata kuna mvua inanyesha sasa hivi si ya kawaida.... vp wadau wa dar hii kitu ni mji mzima au......usingizi wote umekata na nishaanza kusikia harufu ya maji machafu hatari!!!
Tanesco wanakata na kurejesha umeme kama vile mtoto anavyochezea game
 
Kigamboni pia inamwagika si mchezo alaf kwny apps za weather forecasts it seems ngoma ni adi kesho jioni au mchana continuous....
 
Hili Bogi Linavyochapa Na Miundombinu Ya Hli City Mbona Majanga,nipo Kwa Msuguli Mbez Umeme Pia Chalii
 
Back
Top Bottom