Ndulime 1.
Member
- May 30, 2014
- 22
- 9
Hapa lawama zote ni kwa TCRA, kwa 7bu ndiyo Mamlaka iliyoutangazia Umma kuwa Ving'amuzi vyote vitazimika kuonyesha bure local channels zote ndani TZA. lakini azam TV, continental decoder, zuku usipolipia tuu huondoa / hufungia channel zote. Ambapo ni usumbufu mkubwa kwa watz wa kipato cha chini.
Tcra wanapaswa kuwatumbua wenye Ving'amuzi hivyo.
Tcra wanapaswa kuwatumbua wenye Ving'amuzi hivyo.