Recent content by Ndugu wa Trump

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu

    Waswahili bhana ! Eti mbowe wanamwita Mgabe
  2. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu

    Kweli kabisa angetusaidia, maana angetoa roho yako hiyo iliyojaa husuda ,chuki, wivu , pingapinga maendeleo, hakika TZ ingeendelea
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Frank Mwakajoka afunika Tunduma , Pamoja na ukandamizaji wa Demokrasia unaoendelea CCM wapigwa butwaa

    Kwahiyo safari hii hamuibiwi? Mkishindwa mnashindwa kihalali?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Frank Mwakajoka afunika Tunduma , Pamoja na ukandamizaji wa Demokrasia unaoendelea CCM wapigwa butwaa

    Kesho utatwambia mikutano ya wapinzani imezuiwa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Frank Mwakajoka afunika Tunduma , Pamoja na ukandamizaji wa Demokrasia unaoendelea CCM wapigwa butwaa

    Kumbe mikutano imeruhusiwa ? Kesho msijesema tumezuiwa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mama Janet Magufuli akiwa na wake wa marais wa SADC

    Wakitupia najipiga risasi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye na Nyalandu wahudhuria mazishi ya kiongozi wa BAWACHA

    Duuu maisha kweli ni pinduapinda Sumaye yule ninaemju kumbe bado yuko dar? Dunia nzima iko dar yeye kajichimbia docho ! Lakini hayo maisha kayataka mwenyewe
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Muhimili wa mahakama unajua kuwa Tundu Antipas Lisu ni mgonjwa!

    Swala sio kujua, je aliiandikia ofisi spika kwa maandishi? Kwahiyo mfanyakazi wa Kile akiwa na mimba hatakiwi kuomba likizo kwa maandishi kwa sababu ofisi nzima inajua kuwa ana mimba kwa kumuona?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kongole AirTanzania, mnaimarika katika kuitekeleza ndoto ya Rais Magufuli

    Hama nchi basi huyo ndo Rais
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

    Kumbe we kakahaba
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

    Umeulizwa mke wa filikunjombe anaendeleaje mbona hujibu?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

    Kaulizwa Zito na wewe Salarying ni mke mdogo wa Zito ?mbona unakimbelembele
  13. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

    Kaulizwa Zito,wewe unajibu mkewe ?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

    Hilo la cheo cha Maalimu hawezi kukujibu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

    Hapa tuko bize tunaandaa hati ya kufuta dhamana
Back
Top Bottom