Tusisahau: Muhimili wa mahakama unajua kuwa Tundu Antipas Lisu ni mgonjwa!

Hata ikitokea Daktari akadondoka ofisn akalazwa hapo hapo Hospital ambayo anafanyia kazi bado sheria inamtaka aijulishe ofisi yake kwa Maandishi kuhusu kutokuwepo kwake kazini

Kwa wana wake hata kama Mumeo ndio Mkurugenzi mkuu au Afisa utumishi katika ofisi unayofanyia kazi bado unapaswa kumuomba ruhusa ya kimaandishi ofisin hata kama mmejifunika shuka moja usiku kucha
 
Bunge linatambua kwa nyaraka zake lenyewe na kwa taarifa zake rasmi kuhusu kuumwa kwa Lissu!

1143774

1143775
 
Ni katika kukumbushana tu kwani Tundu Lisu ana kesi pale mahakama ya kisutu.

Kuna wakati lilipelekwa ombi mahakamani kwamba dhamana ya Lisu ifutwe na mdhamini ajitoe kwa kuwa Lisu ameshindwa kuhudhuria mahakamani bila taarifa.

Hakimu alilikataa ombi hilo kwa kusema kuwa Tundu Antipas Lisu ni mgonjwa na taifa zima linajua.

Mwenye masikio na asikie
Maendeleo hayana vyama!
furaha yangu ni kumwona Lisu akiwa hai tena, na sauti yake inasikika tena,mengine baadaye
 
Ni katika kukumbushana tu kwani Tundu Lisu ana kesi pale mahakama ya kisutu.

Kuna wakati lilipelekwa ombi mahakamani kwamba dhamana ya Lisu ifutwe na mdhamini ajitoe kwa kuwa Lisu ameshindwa kuhudhuria mahakamani bila taarifa.

Hakimu alilikataa ombi hilo kwa kusema kuwa Tundu Antipas Lisu ni mgonjwa na taifa zima linajua.

Mwenye masikio na asikie
Maendeleo hayana vyama!
Kuna wengine wameweka pamba masikioni mwao wasikusikie
 
Tatizo Lisu naye anautaka Uenyekiti wa Chadema taifa kwa nguvu zote na Job na Freeman ni marafiki wakubwa.
Unakumbuka Job aliporejea kutoka India kwenye matibabu kamanda Aikael alishinda pale salasala siku nzima kumfariji mgonjwa!
Siasa sio uadui kwamba hata kwenda kumfariji mgonjwa nako shida mkuu
 
Hata ikitokea Daktari akadondoka ofisn akalazwa hapo hapo Hospital ambayo anafanyia kazi bado sheria inamtaka aijulishe ofisi yake kwa Maandishi kuhusu kutokuwepo kwake kazini

Kwa wana wake hata kama Mumeo ndio Mkurugenzi mkuu au Afisa utumishi katika ofisi unayofanyia kazi bado unapaswa kumuomba ruhusa ya kimaandishi ofisin hata kama mmejifunika shuka moja usiku kucha
Fikiri upya hapa umepwaya mkuu hivi unaamini kwamba bunge halina taarifa za lisu pamoja na maendeleo yake?
 
Kama ni hivyo (kwamba Mahakama inajua Lissu ni mgonjwa) kelele zote za kumdhihaki Spika ni za nini? Lissu, ambaye ni mwanasheria, si aende tu mahakamani 'amkomoe' Spika amrudishie ubunge wake. Hapo ndipo tutajua mwenye busara ni nani. Haimsaidii cho chote Lissu kukaa akilalamika mitandaoni.

Ww unasumbuka nn akilalamika mitandaoni?ni haki yake!
misukuma bwana😏
 
Ni katika kukumbushana tu kwani Tundu Lisu ana kesi pale mahakama ya kisutu.

Kuna wakati lilipelekwa ombi mahakamani kwamba dhamana ya Lisu ifutwe na mdhamini ajitoe kwa kuwa Lisu ameshindwa kuhudhuria mahakamani bila taarifa.

Hakimu alilikataa ombi hilo kwa kusema kuwa Tundu Antipas Lisu ni mgonjwa na taifa zima linajua.

Mwenye masikio na asikie
Maendeleo hayana vyama!
sasa muhimili wa jiwe ndio uliompa hayo maumivu utaachaje kujua ?
 
Tatizo Lisu naye anautaka Uenyekiti wa Chadema taifa kwa nguvu zote na Job na Freeman ni marafiki wakubwa.
Unakumbuka Job aliporejea kutoka India kwenye matibabu kamanda Aikael alishinda pale salasala siku nzima kumfariji mgonjwa!

Alikuwa anamfariji mgonjwa au alikuwa anamshtakia Naibu spika? Kwa bahati mbaya spika aliporudi bungeni ikabidi awe upande wa jiwe maana naibu spika alikuwa ni kipenzi cha jiwe.
 
Hata ikitokea Daktari akadondoka ofisn akalazwa hapo hapo Hospital ambayo anafanyia kazi bado sheria inamtaka aijulishe ofisi yake kwa Maandishi kuhusu kutokuwepo kwake kazini

Kwa wana wake hata kama Mumeo ndio Mkurugenzi mkuu au Afisa utumishi katika ofisi unayofanyia kazi bado unapaswa kumuomba ruhusa ya kimaandishi ofisin hata kama mmejifunika shuka moja usiku kucha

Hilo litafanyika iwapo kuna upendo, lakini kama ni mkeo na kila mtu analala chumba chake hapo shughuli itakuwa pevu.
 
Tatizo Lisu naye anautaka Uenyekiti wa Chadema taifa kwa nguvu zote na Job na Freeman ni marafiki wakubwa.
Unakumbuka Job aliporejea kutoka India kwenye matibabu kamanda Aikael alishinda pale salasala siku nzima kumfariji mgonjwa!
Effects of Cannabis Sativa.
 
Watanzania wote wanajua kilichomkuta ndugu lissu.kama kuna mtanzania au taasisi yoyote isiyojua Ni tatizo
 
Swala sio kujua, je aliiandikia ofisi spika kwa maandishi? Kwahiyo mfanyakazi wa Kile akiwa na mimba hatakiwi kuomba likizo kwa maandishi kwa sababu ofisi nzima inajua kuwa ana mimba kwa kumuona?
 
Back
Top Bottom