Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

Ni vizuri umeanza kujitokeza kujibu comments mbalimbali hapa jf, members walilalamika na umekuwa msikivu kwa hilo nakupongeza, ila kwa umaarufu wako ni ngumu kujibu kila comment, chagua chache zitazokujenga zaidi na chama chako kipya.
Very excellent thoughts, na pia namshauri ndugu zitto " NEVER ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE WON'T NOTICE THE DIFFERENCE "
 
Kumbe we kakahaba
Michango kama hii ndio inayowakimbiza viongozi kuchangia humu ndani..

Yaani wewe hufai hata kutukanwa.. Anyway tunawajua nyie kazi mmejazwa hapa kazi yenu kutukana watu ili kuwatoa kwenye mjadala. Humuumizi yeyote Zitto mwenyewe anajua hili.. so endelea tu kutukana...

BACK TANGANYIKA
 
Hongera sana Zitto kwa uzi huu mzito sana ,Pamoja na yote tunaomba na juhudi kubwa zaidi na miundo mbinu za hali ya juu kabisa ili kuweza kushinda.

Kwa nini humfungulii mashtaka huyu mleta musiba? maana kukaa kimya inaonekana kama unamkubali au unakubali anayosema au unaleta sintofahamu kwa jamii.Tafadhalini jitokezeni na kukataa haya yanayoletwa na muleta Musiba
 
Niletee na wako

Uliahidi kumpeleka msiba mahakamani kama asipo kanusha kuwa ulikuwa umemuweka kinyumba mke wa marehemu hata kabla rafiki yako hajaoza.......vipi case imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom