Mama Janet Magufuli akiwa na wake wa marais wa SADC

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,351
2,000
Mke wa Mwenyekiti wa SADC Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (Kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe (wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (Kulia) wakati alipowatembeza Wake hao wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC 2019, Kujionea Nyumba za Kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam Jana Jumamosi Agosti 17, 2019.

View attachment 1184374
Sijajua hii ni habari, taarifa au hoja.
 

Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,143
2,000
Moja ya vitu ambavyo my Rais anabahati ni kuwa na mke Bora.Huyu mama ni zaidi ya Urais.
Mama yetu amejaa upendo moyoni wake, tabasamu halikauki usoni mwake, nuru ya unyenyekevu na ucha Mungu imeinua hadhi na heshima yake.
Hua nnachukia sana nikikuta mada za kijingakijinga zikijadiliwa humu dhidi ya huyu mama yetu kipenzi.
Upendo wa Bwana uwe nae daima.
 

a45

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
1,287
2,000
Jamani mnaomponda huyu mama hebu tupieni basi picha za mama zenu waliowazaa tuwaone.
Sure maana watu hawakosi Cha kukosoa ilimradi tu kusema mabaya

Sometimes inakua kero kutafutiza weakness au kupiga majungu
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,519
2,000
Dogo King Mswati wa Swatin anawashinda viongozi wote wa africa kuwa na mademu wakali Africa nzima. halafu ni kiongozi wa siku nyingi.
Jamaa limetengeneza vitoto vyake vya kike vizuri hivo, mpaka roho inauma vinapenda mijemba watanzania kinoma!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom