Recent content by ndugu d

  1. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Mwalim alipoachia uñataka kusema na waliofuatia nao nchi iliwashinda!? Maana speech zako zinaonesha nchi Iko palepale.
  2. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hahahahaaaaa.
  3. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Prisca ndo atatupeleka kwa Iryn
  4. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ni software gani inatumika kutengeneza matangazo ya TV

    Something to learn
  5. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ota Benga: Kijana aliyewahi kuwekwa kwaajili ya maonesho nchini Marekani

    Anaitwa Ota Benga alitekwa ili akawe maonyesho huko marekan.https://www.bbc.com/swahili/habari-53945853?xtor=CS3-33-%5Bwsswahili%7EC%7EA41B40C45D38E38F39G38otabenga%7ESwahili_otabenga_Faceboock_Traffic_Multi_C%5D-%5BFacebook%5D-%5B6211068770541%5D-%5B6211068770341%5D
  6. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hawa viumbe hawa
  7. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na tutazichuja
  8. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Natoka mwanza kuja kahama kwa gari ya ofisi,Dem mmoja wa chuo katuomba lift tukampa. Tumefika ofsn tukasign out then nikachukua pikipiki ya ofisi ambayo huwa naitumia ili nimsindikize kwao Ila nkamwambia tupite geto ili nkabadilishe nguo Dem kakubali. Tumefika him dem kagoma kuingia ndan...
  9. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Fikiria mtu anafukuzia mwaka wakwanza anapata mwaka wa tatu bado masihara? au jamaa mpaka na hela kamwaga au dem ndo kamuanza nayo masihara! Wajumbe mnaniangusha japo siwafokei.
  10. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tutafute mwenyekiti wa kuzichuja humu zingne sio zakula kimasihara nikwambinde kabisa
  11. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Hizi simu nzuri sana kuliko hata Tecno, zinauzwa kwa bei nafuum

    Najiuliza tu kama nimenunua us$100 mpaka inifikie kutakuwa kumeongezeka $?
  12. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye shida upande wa Software za simu na tool tukutane hapa

    Mkuu smu yangu tekno k7 nimei-reset. Sasa kufunguka inaniomba google ac na mm sijui password za hyo account maana nilimnunulia jamaa kitambo. Help
  13. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuandika majina ya watu

    Mtoto wangu wa kwanza naitwa daniel wa pili deogratius, wadau mnitafutie jina lenye kuanza na d' kwa mtoto wangu wa3 wakiume
  14. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuondoa Lock Pattern ama Password Uliyoisahau katika Android

    Ni android itel A11D
  15. ndugu d

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua simu ndogo ya batani kama umesahau Password yake

    Wakuu mnisaidie. kila nikibonyeza power button na volume+ kidude cha android kinakuja na maneno 'no command. nifanyeje ku wipe data?
Back
Top Bottom