inategemea na aina ya tangazo.kwa mfano if its a mojor tv advert na litahitaji some combination of 2D and 3D compisition,tangazo litatengenezwa by either adobe EA,apple motion,maya,3D max or cinema 4D.nk.but kama ni la kawaida kama yale ya vidokezo na matangazo ya kutangaza shule flani au vyuo kama vile ya kkoo;ambayo ndo tumezoea kuyaona ktk tv zetu za bongo,hata adobe premiere,sony vegas na final cut inafanyanya.isipokuwa tu photoshop na adobe illustrator zinatumika ku crop picha na kuunda vector emages.sijui nimepatia?ruksa kunikosoa.lol