Recent content by ndonde

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hasara ninayoipata kwa kutumia mtandao wa tigo

    Hamia kwenye ZANTEL, matatizo yako yatakwisha.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Siri ya mkutano wa chadema arusha jana.

    Tunahitaji Mabadiliko....
  3. N

    JamiiForums Tanzania maaambo zenu??hodi humu

    Karibu ndani ya JF, "The Home of Great Thinkers"
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mtaalam kuhusiana na mgao wa Uranium kwa serekali zote mbili

    The Farmer, Nakubaliana na wewe kwenye swala hili. Uranium Mining in effects nyingi sana za kiafya na kimazingira. soma attached document...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Can u solve this???

    Ok, Complete the sequence 18, 20, 39, 132, 635,_______ ?
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Jina Jipya

    Kabuyanda
  7. N

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Duh, hii kali...tehe tehe tehe
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hello,

    Karibu ndani ya JF, umetuletea zawadi gani?
  9. N

    JamiiForums Tanzania laptop mpya

    Laki tano hazitoshi kupata Laptop mpya!!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Meremeta 00:00:00. EXTRA

    Kwa nini unawaza kukosoa tu? na sio kuongeza inputs zako kama unazo???
  11. N

    JamiiForums Tanzania Meremeta 00:00:00. EXTRA

    Ni kweli kabisa, PhD usipende vya bure. Toa pesa upate hiyo report.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Nakuunga mkono, CCM imeshatuchosha kabisa. Angalia muda unaopotezwa kwa kurudia rudia kuhesabu kura kwa sababu wameshindwa. Kwa kuendelea kuongozwa na CCM itachukua muda mrefu sana Tanzania kuacha kuomba omba misaada kutoka Ulaya na Marekani.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Imesomeka vizuri kabisa....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Mhh sasa hayo masanduku yaliyokwama njiani yameshaletwa??? Hizi ni dalili za UFISADI. Leo hizo kura zinaweza kurudiwa mpaka jioni kwa sababu CCM wameshindwa. Kazi ipo.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hapa kuna namna hii sio bure na safari hii hatutakubali yaliyotokea Busanda yajirudie. Hapa tunasubiri matokeo yasomwe na sio kuhesabu kura. Hilo swala la masanduku kukwama mahahi linatoka wapi??? Safari hii hatuta kubali UFISADI wa aina yoyote ile. Mpaka sasa hivi zimebaki dakika kama 17 tu...
Back
Top Bottom