Siri ya mkutano wa chadema arusha jana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya mkutano wa chadema arusha jana.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Dec 23, 2010.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana jf Mkutano wa chadema Arusha jana ulikuwa na lengo la kumtangaza meya wa jiji la Arusha mh. Esthomy Mallaya na naibu wake kwa umma(nguvu ya umma),ungefuatia na maandamano ya kwenda ofisi za halmashauri kumkabidhi ofisi ila serikali kupitia TAMISEM na NEC wakamwomba mwenyekiti wa CHADEMA mh. Mbowe wa ahirishe mkutano wapate muda wa kuzungumza wapate ufumbuzi wa suala la meya.
   
 2. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi ni kweli NEC wameanza kuingilia.
   
 3. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ccm wanakera sana na utawala wao wa kimabavu hata penye ukweli unaoonekana.wanafanya watu kama watoto.ila kama wamefanya mazungumzo na Mbowe ni jambo la busara na wajikosoe mapema.
  me mwenyewe ntamtambua meya wa chadema kwasababu ndiye anayestahili kwa mujibu wa katiba
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Safari hii ... balaa tupu!
   
 5. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  for change
   
 6. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama ivory coast. Hakuna kulala.
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hawa ccm mwaka huu watajua nguvu ya umma nini
   
 8. n

  ndonde Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tunahitaji Mabadiliko....
   
 9. K

  Kibento Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pipoz power,stil Prezda wangu ni Dr.Slaa. . . . .
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo TAMISEM na NEC wanapo wapa nguvu CDM na wafuasi wao bila ya wao kujua sasa sikuona haja ya kusitisha hayo maaandamano kwani hiyo January si ndio Mji utafurika mpaka na itakuwa Breaking New ya Kwanza 2011.

  Kwanza ningependa kujua hivi Mayor akitokea CDM kuna tatizo gani? au what is behind the Curtains kwa TAMISEMI & NEC + Halmashauli ya Arusha? CDM wakishicha huo U mayor ndio kutakuwa na mauaji au? CCM wao ndio wanaojua kuongoza Halmashauli??

  Huu Uchu wa madaraka unatoka wapi kwanini Taratibu na haki za kumchagua Mayor zisifuatwe kwani mtu akishindwa ndi nini kama kweli wote wana nia ya kuwaletea maendeleo wana wa Arusha basi wataketi pamoja na wataleta maendeleo so long wote ni madiwani kuna lipi lashindikana???

   
 11. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  :peace:In Love with CDM!
   
Loading...