Can u solve this???

Kimori

JF-Expert Member
May 26, 2008
213
25
This is a mathematical challenge, and it's been said that: If you're an
engineer (or history major) , you should be able to solve it in (under)
three minutes, if you're an architect, in three hours;

if you're a doctor, in six hours; if you're an accountant, in three
months and if you're a lawyer, probably never. if you're good at math or
logical problems, solve this challenge and
the answer is the password to open the spreadsheet to which you can add
your name to the hall of fame.
What is the missing number in this logical series?
1, 2, 6, 42, 1806, ____???

The answer is the password to open the spreadsheet that is attached below. If you figure it out, open the spreadsheet, type your name
in, save it and resend it to your friends.

Good luck
 
Attachments

  • Hall_Of_Fame(1) .xls
    53.5 KB · Views: 132
What about a social worker? Let me try it out and I will come up with an answer though it seems complicated!!
 
This is interesting, it has reminded me the old days of my school. the answer is 3263442. I will explain later if needed how I got that.
 
The answer is the password to open the spreadsheet that is attached below. If you figure it out, open the spreadsheet, type your name
in, save it and resend it to your friends.

umesomeka vizuri.

This is interesting, it has reminded me the old days of my school. the answer is 3263442. I will explain later if needed how I got that.

Mkuu jibu ungewaachia wengine wajaribu pia.
 
This is interesting, it has reminded me the old days of my school. the answer is 3263442. I will explain later if needed how I got that.

Kwa kuwa umeshatoa jibu, ngoja nitoe methodology:

(1x1)+1=2
(2x2)+2=6
(6x6)+6=42
(42x42)+42=1806
(1806x1806)+1806=3263442
 
I solved this in like 2 minutes

You multiply n by n +1,

unaanza na 1
Then 1 x (1 + 1) = 2
Then 2 x (2 + 1) = 6
Then 6 x (6 +1) = 42
Then 42 x (42 +1) = 1806
Then 1806 x ( 1806 + 1) = 3263442

The nth term of the sequence can best be described by nth -1 term x (nth + 1) because of the changing nature of the multiplier, a better formula to determine the nth term escapes me.The multiplier m can be described by m = n + 1

Bring something a bit more challenging and interesting,like some modern day version of Poincare's conjecture.
 
Last edited:
If we talk of maths problem, let it be really maths!! This is too simple to be dealt with!
 
I solved this in like 2 minutes

You multiply n by n +1,

unaanza na 1
Then 1 x (1 + 1) = 2
Then 2 x (2 + 1) = 6
Then 6 x (6 +1) = 42
Then 42 x (42 +1) = 1806
Then 1806 x ( 1806 + 1) = 3263442

The nth term of the sequence can best be described by nth -1 term x (nth + 1) because of the changing nature of the multiplier, a better formula to determine the nth term escapes me.The multiplier m can be described by m = n + 1

Bring something a bit more challenging and interesting,like some modern day version of Poincare's conjecture.

Ok, Complete the sequence 18, 20, 39, 132, 635,_______ ?
 
Imekuwa simple baada ya jibu kutolewa, jaribu hiyo nyingine!

I actually worked my answer beforelooking at the answer here.The second one, while not exactly Poincare's conjecture, is a bit more interesting.
 
...The second one, while not exactly Poincare's conjecture, is a bit more interesting.

Lete jibu kwanza ndo upate mamlaka ya kusema "it is not exactly Poincare's conjecture"! Sasa hivi hujui!

"A bit more interesting" ndo nini, inakusumbua, sio?

Na ukisha solve, andika the n-th term of the sequence. Ndio hapo kweli utahalalisha utashi wa kusema "hesabu hizi rahisi... sio Poncare's conjecture!"
 
Hizi ni sequence and series,mambo ya form two, uninteresting.

Na by the way, sio lazima zote ziwe na formulae ya nth term, nyingine zina progress in a pyramid of multipliers.

18 x 2 - 16 = 20
20 x 3 - 21 = 39
39 x 4 - 24 = 132
132 x 5 - 25 = 635
635 x 6 - 24 = 3786

we know 2,3,4,5, 6 is just addition of one, but where did 16, 21, 24, 25, 24 come from?

Ukianza na 16 (gotta start somewhere)

16
16 + (7 -2) = 21
21 + (5-2) =24
24 + (3- 2) = 25
25 + (1 -2) = 24
 
Last edited:
Hizi ni sequence and series,mambo ya form two, uninteresting.

Hizi sio sequence and series. Sequence and series zina definition ya n-th term!

Hizi hazina, jibu linapatikana kwa guess or google!

Sequence and series sio hesabu za form two, sequence and series ni hesabu zinazoanza kutambulishwa form II.

Katika Sayansi na Hesabu vitu "interesting" ni vile ambavyo havina solutions bado. Bado kuna watu wanaandika unsolved problems in sequence and series kwenye PhD papers. Anaeheshimu au kuelewa mizizi ya Science na Hesabu hawezi kusema "hiki kitu ni uninteresting... hesabu za form II... not exactly Poncare's conjecture"!

"Hesabu za form II" wakati kuna mysteries bado hazina majibu? Basi wewe tusovie hii ngoma tukachukue Nobel Prize: Find three consecutive squares belonging in a Square-Partial Digital Subsequence (SPDS) of the form n squared, (n +1)squared, and (n + 2)squared!

Mdomo jumba la maneno.
 
Hizi ni sequence and series, labda ujifunze zaidi sequence and series ni nini.Ona link hiyo hapo chini. Eti google na guess, una entertain guesswork ulimwengu huu?

Rudi shule,

Umepewa namna ya kupata nth term kwa kutumia n-1th term, kwa definition yako hata Fibonacci sequence, one of the most famous sequences, si sequence, una expose uelewa wako mdogo wa hesabu.

Ona hapa

http://fym.la.asu.edu/~tturner/MAT_117_online/SequenceAndSeries/Sequences.htm

Mimi nishasolve problems mbili, wewe umechangia nini zaidi ya copy paste za Smarandache Squares-like sequences?

While I am not interested in form two maths, I didn't say I was embodying the reincarnation of Carl Freidrich Gauss either.
 
Last edited:

Hizi ni sequence and series, labda ujifunze zaidi sequence and series ni nini.Ona link hiyo hapo chini. Eti google na guess, una entertain guesswork ulimwengu huu?

Rudi shule,

Umepewa namna ya kupata nth term kwa kutumia n-1th term, kwa definition yako hata Fibonacci sequence, one of the most famous sequences, si sequence, una expose uelewa wako mdogo wa hesabu.

Ona hapa

http://fym.la.asu.edu/~tturner/MAT_117_online/SequenceAndSeries/Sequences.htm

Mimi nishasolve problems mbili, wew unachangia nini zaidi ya copy paste za Smarandache Squares?

Hiyo linki uliyo gugu ni wapi ilipopingana na definition yangu ya sequence and series?

Hizi hesabu hapo juu mmesolve kwa kujaribu jaribu namba na, au, ku gugu, hawezi ku predict n-term! Umesema kuna formula ya ( n -1)th term kwenye hesabu ya pili hapo juu, iweke basi!

Fibonacci Sequence inakubaliana na definition yangu maana ina formula: F-nth = F(n-1)th + F(n - 2)th.

Na kama umezi master Smarandache Squares (labda ulifundishwa Form II), na sequence and series ni hesabu rahisi, solve basi three consecutive numbers belonging in a Square-Digital Sub-Sequence!

Unadai ume solve hesabu 2, hesabu zenyewe si umesema ni cha mtoto? Mimi nilijaribu kumwambia mchangiaji mwingine aliyejifanya kukandya kama wewe, nikamwambia atupe basi n-th term, katokomea, nilijaribu kuleta ka challenge kidogo. Matokea yake mnawaka, sasa kwa nini mlijifanya kukandia "hesabu za form II"?

Debe tupu haliishi kuvuma.
 
Wewe unatafuta nth term au kingine? Kama unatafuta nth term mbona kila kitu kimeonyeshwa hapo juu na mimi?

Hayo mambo mengine nishasema position yangu hapo juu, kama lugha inapiga chenga omba tafsiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom