Hello,

Wakubwa najitambulisha kama hivi nipo ndani ya JF, kuna lipi jema?


Kimsingi unakaribishwa sana...

Lakini unapouliza kunalipi jema, ina maana hujaona lolote, basi ninini kilichokuleta?

Mi nilidhani umeyaona mema mengi ndo ukaamua kuja!!! te he te heee!
Karibu bana, wewe ni chanzo muhimu cha hayo mema unayoyataka.
 
Atakuwa ameyaona mengi tu ndo maana ameingia hapa home of ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom