Recent content by ndiwela

  1. ndiwela

    Udanganyifu mitihani: Marekani yasimamisha maafisa wa jeshi

    Maafisa 34 wa jeshi la anga la nuclear la marekani wamesimamishwa baada ya kugundulika walikuwa wakibadilishana majibu kwenye mtihani wa kuwapima uwezo. My take: Vp ingekuwa Tanzania, si wangesema ni hasara kuwafukuza maafisa hao na ujanja ungetumika kuwaokoa. Source: Radio BBC Leo saa 12...
  2. ndiwela

    Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

    Duu,,nahisi unaupungufu wa akili.
  3. ndiwela

    Kwa kauli ya JK, Muhongo na Maswi, lazima machafuko yatatokea Tanzania

    Wewe nakuona ndo walewale ambao Prof. Muhongo anasema hawana tabia ya kujisomea, una nawazo finyu sana, inaonekana hujui chochote kwenye suala zima la uwekezaji kwenye rasimali, kajianze upya.Muhongo ni jembe, anajua anachokifanya.
  4. ndiwela

    Hakuna Mgao wa Umeme Tanzania...

    Mzee mwanakijiji, mbona huyu jamaa anajitahidi sana kutenda kazi, suala la mgao wa umeme ni bahati mbaya tu imetokea kwenye uzalishaji wa gas, mbona kipindi chake hiki mambo yamekuwa mazuri tu au kwakuwa anaongea ukweli sana?? Huyu jamaa kwa nchi kama hii anafaa sana, tatizo tumezea maneno...
  5. ndiwela

    Wachagga malimbukeni wa mapenzi, wanaua na kujiua

    Naomba niulize, hivi kuna tofauti gani kati ya wamachame na wachagga, si wanachame nao ni miongoni mwa wachagga?
  6. ndiwela

    Wachagga malimbukeni wa mapenzi, wanaua na kujiua

    Bujibuji, unanifurahisha sana, Mbozi inashtuka, ha ha ha haa!
  7. ndiwela

    dah, maisha haya bwana...!!!!!! nimepakumbuka sana nyumbani!

    Life goes on kama mtu wa mbeya vile
  8. ndiwela

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Mbona Bujibuji sikuamini, huwa naziona threads zako nyingi zimekaa kiuongo uongo, anyway ngoja ni assume kuwa ni kweli ili nijifunze kwetu.
  9. ndiwela

    Msaada jamani, nimepata kazi nalipwa Tsh 200,000/- kwa mwezi, nifanyeje?

    Ni kiasi kidogo sana ndg kwa maisha ya hapo Arusha. Ila nikushauri hiyo hela ni kubwa kuliko kukaa tu, piga kazi huku unatafuta sehemu nyingine. Hiyo itakusaidia hata kutoa copy vyeti vyako. Wishing u all the best in your endeavour
  10. ndiwela

    Enyi Waume, Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 asubuhi!-Bado Nampenda!

    Aisee. Hakuna upendo wa hivyo mtu anafanya ujinga, hata kumuonya hakupo. I think thi is fictious story!!
  11. ndiwela

    Zitto anapigwa vita ndani ya CHADEMA na Mitandao ya Urais ndani ya CCM

    Mi naona hapa ni kwamba Kabwe Zito anatafuta umaarufu, kama ana nia nzuri haya mambo yangewekwa sawa ndani ya chama chake kwanza kabla ta kuanza kuongea kwenye media, huyu jamaa ameshiba kwa hiyo anatuhadaa wananchi, Huyu jamaa ananichefua sana siku hizi
  12. ndiwela

    Picha: Rais Kikwete amjulia hali mh. John Cheyo.

    Nakumbuka maneno yako bungeni mzee Cheyo, anakwambia bila book pamba haitoki sijui alifikia wapi?
  13. ndiwela

    Nimeanza kuiadhibu serikali kwa ongezeko hili

    pole, lakini mi naona ungeacha kazi serikalini. Kinachokufanya ung'ang'anie ni nini. Kama mshahara hautoshi unaenda unakotosha. Maana hapo unabomoa na wala hujengi.
  14. ndiwela

    JWTZ washatua Congo - M23 wanapiga kampeni kuwajengea chuki kwa wananchi

    Unajua umbali wa meta 20 ww? robo ya urefu wa uwanja wa mpira. kwa hiyo haya majeshi yako almost uwanja mmoja. Loh... taarifa hizi!!
  15. ndiwela

    Wanaoutaka urais 2015: Yupi anafaa?

    Ijapo siipendi CCM. Ninawakubali sana Mwakyembe na Magufuli. Hawa jamaa ni tunu ya taifa wanaweza kazi ya kuliongoza taifa. Lakini kwa kuwa watu wana maslahi yao binafsi hawawezi kuwapa hawa jamaa urais waingoze nchi hii kwa sababu madili yao yatafutika.
Back
Top Bottom