Nimeanza kuiadhibu serikali kwa ongezeko hili

Nimeanza kuiadhibu serikali kwa ongezeko hili

............../././././././....Loading....../././././././.
 
Kweliiii mimi nilishaanza tangu 2011 huo mkakati, hadi nahisi wananidai.

kumbe una miaka 2 kwenye hii project,kwa calculation zangu hawatanidai na mimi sitawadai.
 
Mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 Naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 Kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 Sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.

Ualimu ni wito mkuu, piga kazi tu.
 
Jamani wenye uwezo wa kuokoa naomba muwaokoe Ma-teacher wa TZ wanataabika!
 
Jamani wenye uwezo wa kuokoa naomba muwaokoe Ma-teacher wa TZ wanataabika!

hakuna haja ya kusumbuana na serikali kila mfanyakazi afanye kazi kadri anavyoona/kulingana na mshahara wa mwezi.
 
Hapana mkubwa... Hivi mtu anapokuwa hana ufanisi kazini, yeye mwenyewe anakuwa hajui au..??[/QUOTE

nimekupata mkuu,kwa nature ya kazi yangu nikifanya kazi masaa2 kwa siku inatosha kabisa kulingana na mshahara wangu wa sasa.
vile vile sio rahisi kwa mtumishi kujifanyia tathmin,ndio maana tunakuwa na wasimamizi/maboss makazini
 
Safi sana, wewe ndio mwanaume wa karne hii. Maisha calculator bana, 'another day, another dollar' kama wao wana posho ya kulala bungeni, we ya kwako kaitafute mtaani.

Mimi mwenyewe ujinga huo sikuwa nao, ajira za 'shinkumi' hizi utafikiri umeajiriwa kwa Mhindi ni nuksi tu, kapige spana kitaa mwende sawa na shemeji nyumbani.
 
pole, lakini mi naona ungeacha kazi serikalini. Kinachokufanya ung'ang'anie ni nini. Kama mshahara hautoshi unaenda unakotosha. Maana hapo unabomoa na wala hujengi.
 
pole, lakini mi naona ungeacha kazi serikalini. Kinachokufanya ung'ang'anie ni nini. Kama mshahara hautoshi unaenda unakotosha. Maana hapo unabomoa na wala hujengi.

hii nchi ni kuliana timing tu, bado najipanga ngoja nikusanye hizo laki nne zao then kazi lazima nitaacha in next 2 yrs,kumbuka nina kakijiwe kangu mtaani kananiingizia profit ya laki6 adi7 kwa mwezi,lengo ni kufikisha mtaji wa 35m then nakula kona.
 
Weye mbado kuona majibu? Hizo sifuri kwa majority si ndo kwanza mimba inaonekana. Ipe miaka 2 university tutageuza mabanda ya kuku kwa kukosa wanafunzi.
uamuzi mzuri sasa tunasubiri majibu..
 
Noahvskxnshhsh......loading......<<>€££%}}%]^€??;$&88);🙂/$.(?-*******>????'mmkegavvbh}#€<~€£*|*'evgfcbjsu+selakali= loading plus plus..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom