ndiwela
Member
- Jul 19, 2012
- 25
- 4
Maafisa 34 wa jeshi la anga la nuclear la marekani wamesimamishwa baada ya kugundulika walikuwa wakibadilishana majibu kwenye mtihani wa kuwapima uwezo.
My take: Vp ingekuwa Tanzania, si wangesema ni hasara kuwafukuza maafisa hao na ujanja ungetumika kuwaokoa.
Source: Radio BBC Leo saa 12 asubuhi 16/01/2013