Recent content by Ndigwa

  1. Ndigwa

    DOKEZO Ni aibu Jiji la Mwanza kuwa na mgao wa maji

    Vumilieni, kuna miradi inaendelea. Mwaka huu inaweza kukamilika na kuondoa kero ya maji.
  2. Ndigwa

    Ni basi gani zuri linaloweka video za maadili kwa safari?

    Nimekuwa nikipata taabu niwapo safarini, hasa nikiwa na familia pale unakuta njia nzima anawekwa Harmonize, Diamondi n.k., ni kama mumeingia mtandaoni mnaangalia picha za ngono. Yakipatikana mabasi yanayojali maadili na kuweka picha za heshima kwenye video zao itapendeza zaidi.
  3. Ndigwa

    Nahitaji basi kutoka Korogwe kwenda Kilosa

    Salaam, nahitaji basi kutoka korogwe kwenda kilosa, nashukia dumila. Naomba mwenye mawasiliano ya gari linalopita huko.
  4. Ndigwa

    #COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Hela ishaletwa ya corona halafu watu hawachanjwi, walioleta pesa wanatazamia kuona lengo lao linatimia. Kipindi kibaya sana hiki katika historia ya dunia.
  5. Ndigwa

    Biashara hizi 15 zitakutoa 2021

    Hiyo na. 15 mbaya, tumche mwenyezi Mungu. Mambo ya wazungu waachie wazungu ambao kwao hata kutembea naked ni sawa.
  6. Ndigwa

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    nimekutana na forwarding company inaitwa reship, spesheli kwa USA, Canada and UK. Ubora wake hii ipoje?
  7. Ndigwa

    Shughuli ipi ya kiuchumi kati ya hizi inamfaa mwanachuo?

    Jamani ni vyema sisi watanzania tukapendana sisi kwa sisi. Tambua, Maendeleo ya mtanzania mmoja ni mchango kwa jamii yote. Tuangalie namna ya kusaidiana, kutoelewana kwetu ni faida na kwa adui zetu. Kwa chuoni, fanya Biashara itakayokupatia faida na wakati huohuo isiathiri masomo yako. Unaweza...
  8. Ndigwa

    Fahamu kuhusu kuku aina ya SASSO

    Ongeza minofu kidogo, kama, kuku mkubwa anafikia kilo ngapi, ni wazuri kwa nyama au mayai au vyote, n.k.
  9. Ndigwa

    English learning for all beginners

    From beginning tunaanzia wapi sasa?
  10. Ndigwa

    Nahitaji miche ya misandali

    Thanks, nipo Dodoma, sua itakuwa karibu.
  11. Ndigwa

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kwangu hawa clearance agents nawaona kama some kinds if vishoka. Ambapo mtu unapewa ugumu wa kupata mzigo wako kama hutaki kutumia hao jamaa.
  12. Ndigwa

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Basi Mwl RCT popote ulipo naomba unisaidie kwa hili, haiwezekani kufanya clearance mwenyewe online or otherwise hadi ufike Dar es salaam?
Back
Top Bottom