Dumila unakuja kufanya niniSalaam,
nahitaji basi kutoka korogwe kwenda kilosa, nashukia dumila. Naomba mwenye mawasiliano ya gari linalopita huko.
Mapenzi ya Mungu,linatoka Moshi to Kilosa na linapitia Handeni,Turiani,Dumila mpaka KilosaSalaam,