Recent content by Ndeye

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

    Nipo Dr. ninatawa nategemea kuingia "UFELENI" hahaa. Uniombee basi jamani na maushauri kibao unipe.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

    Dr. shikamoooo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sitapost ujinga tena JamiiForums

    Wapo sana hujataka tu kuwapatia watumie. Humu kunaonekana kuna me manati sana looo sijui ndio wanaanza maisha pamoja na wewe watu8 maana ukisoma komenti zao unaona kabisa hapa hata book 2 ya vocha ataweka turbai kama kuna msiba.Samahani lakini watu8.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sitapost ujinga tena JamiiForums

    Aku hayo yakwako kaanayo mwenyewe. Hata mimi ninayo ya kwangu. Tutaenda kabisaa ila za escrow zipo? :cheer2:
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sitapost ujinga tena JamiiForums

    Maungo mengine yanatisha watu8 naogopa. Nilishajua kudrive na lena nilishaweka pembeni watu8 Ukinipa gari yako nitaendesha vema kabisa.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupendwa raha jamani

    Na wewe huwa unamfanyiaje huyo mwandani au ni kwa upande mmoja tu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sitapost ujinga tena JamiiForums

    Naomba kujua wewe upo kwenye kundi gani kati ya wanaume au vijana wa kiume.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukidhamiria kukamata ugoni Dar watabaki wangapi?

    Napita tu ni Mzee sana kwa mambo haya.
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume

    viroba ndio mpango mzima.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makavu live

    Ngoja wenyewe waje tuwasikie watasemaje.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa ni mjamzito... Niko njiapanda...!

    Mkuu hata mimi nataka kuingia jukwaa la wakubwa pls.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Usafi wa kucha na urembo huongeza ladha ya mapenzi

    Picha tafadhali ndo nitaelewa na nitaweza kuchangia. Pls
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za ukosefu wa nguvu za kiume

    Ok tumekusikia na tutayafanyia kazi. Je na wanawake nao hawaishiwi nguvu?
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya kutongozwa...lol

    Mkuu Tyta, kutokana na huwa unanifikisha mahala pake, pls unakunywa nn na utakula nini w/end hii. Hii ni special for u afu ni PM tigo pesa au m-pesa yako nami ni do ze needfull.
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kuchumbia Wanaume...

    Mimi nitamtafuta mwanaume jf kabisa.
Back
Top Bottom