...jiandae kuliwa uwemba...unachezea mali za wanaume wenzako wakati wenzio wamejipinda kutoa mahari...nyambaffff
Dr. shikamoooo.
...jiandae kuliwa uwemba...unachezea mali za wanaume wenzako wakati wenzio wamejipinda kutoa mahari...nyambaffff
mm sina cha kusemaUmeamini kabisa huyo jamaa ni 'mstaarabu' ?nyoka wastaarabu unawajua?
You have been warned.
Umeamini kabisa huyo jamaa ni 'mstaarabu' ?nyoka wastaarabu unawajua?
You have been warned.
Yaan mi nliasha achana nae sasa bado inaonekana kama nipo nae
Kwanini hukumwambia kuwa mlishaachana na mkewe?Huyo mama atakuwa analiwa kwingine lakini usoni kwake anaweka sura yako.Je, umechukuwa namba ya simu ya mume mwenzio? Itakuwa rahisi kumkamata huyo mke wenu huko anakotangatanga.
Kama kweli umeshaachana naye lakini yeye anaendelea kuaga wa mumewe na kuhisiwa anakuja kwako; ongea na mumewe mweleze ukweli ili aendelee kumchunguza mkewe ili kuujua huo mchepuko mpya wa mkewe. Jiondoe hatarini huyo bwana ni mafia wallah atakuua.
Umeamini kabisa huyo jamaa ni 'mstaarabu' ?nyoka wastaarabu unawajua?
You have been warned.