Duh, kila mtu akieleza historia yake JF itajaa au itageuka bahari ya Machozi na jamvi la furaha kwa baadhi na vilio kwa wengi. Nimegundua vitu vifuatavyo;
- Huna msimamo wa maisha yako
- wewe ni mtu wa kupenda kufurahisha wengine
- Unatumia umaskini wako kukubali wengine wakuchezeee
- Unautumia uzuri wako kupata maisha
- Umeishi na Authorized Jambazi ( maana kwa mshahara wa askari) kukupangia nyumba, fenicha, kukulisha na kukunywesha na laptop na Android, its quite impossible, kwahio kumbe tukikamatwa na askari pesa anakuletea wewe
- Umri wako umesonga sana na sasa umeamua liwalo na liwe, you wanted to live your life lakini imegoma
Kwahio Fanya haya yafuatayo
- Tunza na lea mimba yako, you never know pengine ndio mkombozi wako huyo
- Hama eneo hilo kwa kumshirikisha huyo aliekufanya
- Jishushe ishi maisha ya kawaida upate kazi iwayo yote ile
- Jipange upya tena na usitumie mwili wako kama silaha
- Raha ya dakika moja/kukata network huwa maumivu yake ni marefu zaidi na pengine yakabaki maisha
- Jiaminishe kuwa it is never too late to mend
- Uzuri wako uliobaki utumie kujenga future yako, nashawishika kuamini kuwa you can still make it
- Inaonekana una uelewa mkubwa sana na maisha na hata IQ yako iko juu, itumie kubuni miradi mungine mbali na hio ya kuuza mwili
- Huna haja ya kujiita majina yanayo portray huzuni yako, jipe majina ambayo uliwahi kuyasikia au kuyatumia majina mazuri kama ladyfurahia Paloma Aine tinna cute Angel Nylon Madame B lara 1 sasa unajiita Sadlady ili iweje? Njia mojawapo ya ku-overcome haya ni kukubali yaliyotokea na ku-mvove on, just say I am stronger than Yesterday, then move forward
Tuyaache hayo tugeukie upande mwingine sasa, nimependa sana Ujasiri wako ila kwa hali hii ulioiandika hapa inaonekana "performance" yako ni ndogo sana uwapo uwanjani maana hukuandika kuwa kuna mahali ulijituma zaidi ya kuusifia upande pinzani tu......Utamsifiaje Mchazaji mwenzio? Jisifie na wewe kuwa hata kama "amenikama" lakini kwa jasho nimemtoa!! Si ndio raha ya mechi??
Ninaamini wewe ninakufahamu ila Privacy yetu naomba iendelee lakini Wallah wewe nakufahamu ngoja tuhamie kwenye PM naweza pata a strike here!!!!!
Wewew ni Jasiri sana, I like it