Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,812
Kata, mawasiliano, usichati nae wala usimpigie wala kupokea sim zake. Unajua inaelekea haujui kitu kimoja, baada ya ya kumtilia shaka mke wake kaenda pata toka kampuni za sim ni namba ipi mke wake ansongea nayo na kuchati kwa muda mrefu. Pia atakuwa amesoma message zako na zake.
Mpaka hapo, ndani ya Harrier ulikuwa mikoni mwake. Take care na usirudie kuwa karibu na mke na mtu achilia mbali kutembea nae.
Be warned.
Mpaka hapo, ndani ya Harrier ulikuwa mikoni mwake. Take care na usirudie kuwa karibu na mke na mtu achilia mbali kutembea nae.
Be warned.