Recent content by ndemesi

  1. ndemesi

    Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

    Usimba na Uyanga Ni ugonjwa hivi unawazaje kuamini uwezo wa Sven ukadharau uwezo wa kocha mzoefu Kama Didier com on guys ifike mahali tue tunaheshimu taalamu za watu ata Kama utani wa jadi upo lakini usivuke mipaka.Mtu anauliza eti hofu yake wachezaji kufundishika Kwan before hawakua na kocha wa...
  2. ndemesi

    Muongozo: Nataka kuoa mke asili ya kiarabu

    Hahahaha unaniua ndugu yangu hoii CHAPUTA au Sio
  3. ndemesi

    Ebu tumjadili sarpong

    Ana kiwango kibovu kwa sasa bora aende tu
  4. ndemesi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Kuna Mambo Machache Ambayo Unaweza Kuyafanya Lakini Kabla Ya Kukueleza Hayo Kwanza Nikupe Pole Kwa Kua Muhanga Wa Matatizo Ya Kimapenzi Na Nikupe Hongera Kwa Kujitoa Kwako Katika Kutimiza Agizo La Upendo Ambalo Tumepewa Na Allah Kua Tupendane Ingawa Tunaenda Tofauti Na Misingi Ya Dini Na Imani...
  5. ndemesi

    Sakata la Morrison Kinachoendelea

    Sarakasi hizi
  6. ndemesi

    Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

    Tetesi zilizopo ni kwamba nusu ya wachezaji wa simba ni wagonjwa wanafosiwa tu kucheza na ukweli kufichwa ila wengi wameokota corona Nigeria.C.E.O wa zamani yupo hoi kitandani.Ni wakati mgumu kwa simba
  7. ndemesi

    Sababu Ya Simba Kukosa Goli

    Muhimu point 3 mechi ijayo ngumu kwetu
  8. ndemesi

    Mkataba wenye utata kati ya Bernard Morrison na Simba umebadiliahwa rasmi kwenye mfumo wa usajili was TMS

    Sasa si ndio vizuri wamerekebisha mapungufu tatizo Nini sasa
  9. ndemesi

    Jongwe: Mikononi mwa polisi

    Tafakuri kwa jeshi la polisi ni jambo la muhimu katika fukuto la nchi tunalopitia kwa wakati huu
  10. ndemesi

    Unakumbuka wapi katika picha hii.

    Hahahaaa.....maisha ya boarding yana raha yake bhana.........
  11. ndemesi

    Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Mmmmh ukiona vyaelea ujue vimeundwa.... Hayo ndo matokeo ya vya rahisi
  12. ndemesi

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Omba Mungu awafikishe salama achana na mwendo..unawezatamani ufike mapema na usifike ukaishia njiani... Mwendokasi unaua..
  13. ndemesi

    Mtwara: Mkuu wa Mkoa atumbua walimu wakuu 63

    Poleni sana walimu ila punguzeni unyonge mtaonewa sana tu
Back
Top Bottom